Wema Wako

Hata ninapo tetemeshwa
Haijalishi lakini wema wake
Huonekana asubuhi mapema
Mawio ya jua
Na machweo yake ooh
Wema wake utaonekana mmh
Mchana Bwana ataagiza fadhili zake
Usiku wimbo wake utakua nami

Uliyenipa hata pumzi
Leo nikusifu (Wewe)
Wazidi nitendea mema
Nikushukuru (Wewe)

Mmmh mmmh Wewe
Hujawahi shindwa
Hubadiliki ooh uuuh

Wema Wako
(Wema wako)
Wema Wako
(Nauona kati ya walio hai)
Wema Wako
(Wema wako)
Wema Wako
(Siwezi kueleza)

Mmh mmh
(Siwezi kueleza)
Mmmh mmmh
(Wewe)

Machozi yangu
Yalikua chakula changu
Mchana na usiku
Watesi wangu walitukana
Mithili ya kuniponda
Mifupa yangu
Walipo niuliza
Yu wapi Mungu wako?
Leo, wanauliza nipo wapi
Mungu kaniweka juu mmh
Aniketisha na wakuu
Badala ya aibu yangu
Amenipatia maradufu
Furaha ya milele

Wewe
Uliyenipa hata pumzi
Leo nikusifu (Bwana)
Wazidi nitendea mema
Nikushukuru (Wewe)

Mmmh mmmh Wewe
Hujawahi shindwa
Hubadiliki ooh uuuh

Wema Wako
(Wema wako)
Wema Wako
(Nauona kati ya walio hai)
Wema Wako
(Wema wako)
Wema Wako
(Siwezi kueleza)

Mmh mmh
(Siwezi kueleza)
Mmmh mmmh
(Wewe)

Matanga yangu
Yamekua ni machezo
(Ulinivua gunia ukanivika furaha ooh)
Mungu wangu
Nitakushukuru milele
(Ili utukufu wangu ukusifu wee milele)
Nitakushukuru wewe
Nitakushukuru wewe
(Ili utukufu wangu ukusifu wee milele)
Uwezo wangu
Sifa zangu
Narudisha kwako
(Ili utukufu wangu ukusifu wee milele)

Wema Wako
(Wema wako)
Wema Wako
(Nauona kati ya walio hai)
Wema Wako
(Wema wako)
Wema Wako
(Siwezi kueleza)

Mmh mmh
(Siwezi kueleza)
Mmmh mmmh
(Wewe)



Credits
Writer(s): Kevin Kajege
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link