No Stress (feat. Trio Mio)

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

I say burry your problems
For a minute thank God for your life
Live true and honest to yourself you should never lie
Usikufuru uchome, rada safi bora tu kujinyc

Put a smile on your face
Haya maisha you only live once
Whichever the matter the case oh
Nashukuru Mungu anabless oh

Usiskize maneno ya watu utakonda eeh
(Utakonda eeh)
Juhudu na hustle ni zako
Kujituma na kumwaga jasho
Chorea maneno ya watu utakonda eeh
(Utakonda eeh)
Unajua kushikisha shikisha
Ni wa kulewa, lewa
Ni wa kuchoma choma
Lewa shikisha

Unajua kushikisha shikisha
Ni wa kulewa, lewa
Ni wa kuchoma choma
Lewa shikisha

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
unataka kujibamba usiogope
Basi kula tungi mpk ulewe tepe tepe
Yani hapa leo full sheshe
Pombe ni nyingi na zipo aina zotee
Shiro nishatuma fare utakuja ama utakula
Kina carol wako juu ya mashisha wanavuta
wakichachisha

Mbona tujitie stress tunakula bata ile kinyama
Sitaki mtu anipimie nafanya nachokitaka ni yangu
hela.
Kama ni wakushikisha (shikisha)
Ni wakulewa (Lewa)
Ni wakuchoma (choma)

No stress have some fun
No! Stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

Niko stress free.
Nabugia mashuksha, sinia ina sambusa za
Kishelisheli, watu ni kujaza belly...
Nd'o Mwaura asiitike, kamnyweso kakishika
usijiaibishe
Zinaflow(floor) ka sakafu imenyeshewa,
umelemewa...
We si pro usijichoche utakemewa.

Over there kuna wasupa wana machupa za
Belaire.
Wa 'nyagi wako pale hao tushawazoea
Trio dogo janja, msela wa majanta
Hapa ukilegeza jo utatiliwa mataptap
Fun tuna have so
me, madem waje chapchap
Mi na Masauti...

No stress have some fun
No! Stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
Kama ni wakushikisha (shikisha)
Ni wakulewa (Lewa)
Ni wakuchoma (choma)



Credits
Writer(s): Mohammed Ali Said
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link