Ero Soba (LOMO)

Najua wataipenda lakini hii ni competition
Juu ya beat ya ares66, yaani biggest beats Africa
Tunacome ku arrest hizi, minds yaani kuchange mentality
Yea naipenda vile inagonga, unaskia ndawo waki bonga
42 tribes, plus, na bado tunaiga a foreign ndio tukue wavy
Naskia ati drill, ati trap, ati shrap na maybe ni grime
Buda, karibu ni ache Rap
Sahii wapa clap niki wapa map
Inafaa kukua crime kuwacha hii heritage
E go to waste
Nigga stand up, piga kifua, wa show we ni the best
Shigga Ingia miji kenda checki chakacha sitaki kuskia za ku twerk ama ku weng
Hii ni land ya kings mambo ya photocopy tu wachie printer
Hiyo mentally ya kila kitu imported inafaa kua deported
Una need ku stand out si ku blend ndio u trend
Originality bring back za Nkrumah na za Jomo na Nyerere
True independence, ni independence ya mind, na mfuko
Tu wache kuwa laughing stock tuki take stock
Tu jipange, MA youths wa rise up
Tu timize utamaduni tueneze uzalendo
Vijana wa gengetone zonga kando
Wazazi wanabonga fumula tusha badilisha
Kama imekuuma, buda simama, hii ni challenge
Ni provie vile iyo kitu unafanya ina make sense
Achiue, God bless you nili dhani una bonga kumbe ni nonsense
Jaribu kuingia studio bila kuchoma karura ama hizo vitu we ukula
Hii ni challenge

Ero sober ime-bidi nikue sober
Ki Buffalo soldier Hii ni ku create movement
By October Hii itakua trending
Ka ma vedi itawashika
Originality si utumwa
Asii
Ero sober ime-bidi nikue sober
Ki Buffalo soldier

Kwa table unaleta nini, wapi original
Industry mzima nima type beats
Tu wache ufala turudi studio
Mbona hatupati shows abroad you ask
Maybe coz you all sound the same
Maybe coz u don't bring anything new to the table
Cheki wa Nigeria ama South africa
Si Kwaito si Ngom mpaka Mapiano
Cheki TZ ama Congo
Bongo si yetu
Lingala si yetu
Reggae si yetu, ma dancehall pia
Wapi rap featuring Nyadundo
Cheki vile Kanungo ilitesa tabulisha Kangundo
Hii ni ku. create legacy
Oooo Oya beat yako ni American unaronga na kilami
Ukitweng bila sheng how's this song Kenyan
Taka taka peleka huko ama come hivi cheki hi tika taka
Kumake cash nimuhimu but kitu ya hesh ni legacy
Tujaribu kupush culture forward si copy and paste
Ka una 16 ama 32 au 64 pata hii beat online drop ya Bars na u tag Ares66
Make hii moment join hii conversation



Credits
Writer(s): Peter Mutisya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link