Wangu

Ooh baby
Sitaki uwe mbali nami
Ooh baby
Usiniache mpweke maishani
Penzi lako
Lanipa faraja moyoni
Nipo kwako
Kwa mwengine mi sioni
Penzi lako
Nitaweka salama moyoni
Nitatulia kwako
Kwa mwengine mi siendi

We ni wangu
Wangu
We ni wangu
Wangu

Maneno ya wachochezi
Siyaweke moyoni
Si unajua,nia yao
Kututenganisha
Tuachane
Wasikwambie
Mi sifai
Wasikudanganye

We ni wangu
Wangu
We ni wangu
Wangu



Credits
Writer(s): Moses Wanambisi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link