Rhumba Ya Ssaru

Omukhana wanje sitakhambi ndenyanga ekhutire
Na kama uko mbali nami naomba uni-text
Ndatsisanga omulwanyi ndatsisanga nawe
Cherie baby twende nawe ndakhuyanza baby, eh
E-eeh, ni wanje

Hello baby, shika simu kuna news fulani
Najua kwamba huna habari ila kwanza fahamu nakuja nyumbani
Ndio nime-land walai nakam ni serious si utani
Naskia kuna jam but baby relax hebu anza kuchoma ubani
Inaleta harufu fulani, inafanya mi nakutamani
Hili penzi nafeel kwa ndani, mi fika ni mechi ugani
Ah, yaani honey usistress mboga ni majani
Nikuite honey bunny nimebeba madondo ya chwani
We niruhusu si nusunusu baby nakuje nikupe mabusu
Mi huwa natembea na silaha butu wacha waseme ndio mi nisubutu

Mi nikipenda napenda kwa dhati so huyu man (Ni wanje)
Kama ni uchawi nakubali basi ah baby (Niroge)
Alafu kukuwacha nasema sitaki (Mi nawe mpaka milele, e-eh, e-eh)
Ni wanje
Kama ni uchawi nakubali basi ah baby (Niroge)
Alafu kukuwacha nasema sitaki (Mi nawe mpaka milele, e-eh, e-eh)
Ah baby, ni wanje, baby nasema niwanje

Nimewasili kesi navuruga nafanya bila wakili (Wakili)
Yaani si siri huku mjini mapenzi yanahitaji akili (Akili)
Mi siamini yule ukidhani ako sawa ni ndume kuwili (ii-ah, ii-eh)
Na nipo makini huku majogoo wa kijiji ndio wako mjini
Eh, hapa nilipo mi nimefika na nikasettle
We use kijiko mi nikoroge ju nago mental (Murder)
Nikikukwaza roho ikuume iwe kesi ya dental
Na mi huwa simind ata baby ukitaka tushike ka-rental
So leo ukikosa jo mi sikutoki nangoja ya kesho
Ati rhumba ya ssaru ikija madem tufunge maleso

Mi nikipenda napenda kwa dhati sio huyu man (Ni wanje)
Kama ni uchawi nakubali basi ah baby (Niroge)
Alafu kukuwacha nasema sitaki
Mi nawe mpaka milele, e-eh, e-eh (Ni wanje)
Kama ni uchawi nakubali basi ah baby (Niroge)
Alafu kukuwacha nasema sitaki
Mi nawe mpaka milele, e-eh, e-eh, ah baby (Ni wanje)
Baby nasema ni wanje



Credits
Writer(s): Sylvia Sylvia
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link