NAJUTIA

Ona sina raha
Amegeuza penzi karaha
Mwenzenu nauguza jeraha
Ameipoteza furaha
Nilimukabizi moyo
Akaenda nawo mazima
Nikamufanya Chaguo
Akumbe nia kuniumiza

Majuto mjukuu yamenikutaa aah
Mapenzi ya karaha siyawezi iih
Uvumilivu umenishindaa aah
Amakweli kupenda maradhi iih
NAJUTIA aah aah
NAJUTIA aah aah
NAJUTIA aah aah
Haya mapenzi iih

NAJUTIA aah aah
NAJUTIA aah aah
NAJUTIA aah aah
Haya mapenzi iih

Yako wapi yale maneno ya zamani
Uliyonambiaga my darling
Usipo niona hupati usingizi
Ukilala unanijia ndotoni
Nilijitangaza hazarani
Siwezi nikamulaumu shetani
Wenda nilikosea sit
Ukaamua kunicheat

Majuto mjukuu yamenikutaa aah
Mapenzi ya karaha siyawezi iih
Uvumilivu umenishindaa aah
Amakweli kupenda maradhi iih
NAJUTIA aah aah
NAJUTIA aah aah
NAJUTIA aah aah
Haya mapenzi iih

NAJUTIA aah aah
NAJUTIA aah aah
NAJUTIA aah aah
Haya mapenzi iih



Credits
Writer(s): Kedy
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link