Walionicheka

Amina, amina, amina
Amina, amina, amina

Masimango na maneno makali
Yalikuwa ndio fungu langu
Shida, taabu
Ziliumiza sana moyo wangu

Masimango na maneno makali
Yalikuwa ndio fungu langu
Maumivu ya moyo
Yaliinamisha nafsi yangu

Asante Yesu
Kwa kuwa uliiona taabu yangu
Nakushukuru
Kwa kuwa uliona msiba wangu

Asante Yesu
Kwa kuwa uliiona taabu yangu
Nakushukuru
Kwa kuwa uliutazama msiba wangu eh

Sasa ona ninaendelea
Walionicheka wanaona haya
Asante Yesu kwa kunishindia
Walionicheka wanaona haya

Walikuwa ni mahypocrity
Hawakuwa marafiki wangu wa kweli
Ikifika wakati wa mahitaji
Wananihepa manze kila wakati

Hawakutaka mi niokoke kabisa
Walitaka mi nichanganye kabisa eeh
Ona vile mi nang'ara kabisa
Ju nilifuata Yesu kabisa

Yesu wangu nakufuata we
Wacha wao waende na rieng
Yesu wangu nakufuata we
Wacha wao waende na rieng

Sasa ona ninaendelea
Walionicheka wanaona haya
Asante Yesu kwa kunishindia
Walionicheka wanaona haya

Asante Yesu
Wingi wa huruma
Umenishika mkono
Mbele naendelea

Eeeh Yesu
Wingi wa huruma
Umenishika mkono
Ninaendelea

Uko nami(Uko nami)
Uko nami baba(Uko nami)
Uko nami(Uko nami)
Uko nami baba(Uko nami)

Waonyeshe(Waonyeshe)
Waonyeshe(Waonyeshe)
Waonyeshe(Waonyeshe waone)
Waonyeshe(Uko nami eeh...)

Uko nami(Waonyeshe, haleluya waonyeshe)
Uko nami(Waonyeshe, waonyeshe)
Waonyeshe waone
Waonyeshe(Uko nami eeh)

Waonyeshe baba uko nami
Mwokozi kwako sihami
Matatizo sipati
Ju sasa wewe uko nami

Amina, amina, amina
Amina, amina, amina

Amina, amina, amina



Credits
Writer(s): Alex Apoko Nyanchoga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link