Tango

Tango one, tango two, huku right nacheki wabantu
Tango one tango two huku left nataka mikono juu
Toto si anataka babysitter
Na anarecommend apo ukuwe footi sita

Ni ka mtalii, kanapenda tu kuparty
Shika toto shika kwela adi kimali
Tunawasha vela tuko juu ya makali
Zikishika sana ita waiter ndo tukate
Shuksha shuksha leta mpaka Angela
Aty anadai anapenda maanten
Tuko chini ya waba kukinyesha leta umbrella
Kama tu ni dry tunafika adi mandera
Weka gede so tunacheza tu na reditor
Steam ka steam ka steam ni ka veve
Steam steam steam na mareggea
Bash na maring pasa pasa na maring

Tango one, tango two, huku right nacheki wabantu
Tango one tango two huku left nataka mikono juu
Toto si anataka babysitter
Na anarecommend apo ukuwe footi sita

Hii ni ghetto bam bam, na ishanibamba
Nikajikaranganishaaaaaaaaaa
Leo nitabamba, adi kwa kitanda
Nikimkanyaganishaaaaaa
Ye upenda kizomba ju ya beat ya kikamba
Naeza mchachanganishaaaaaaaaaaa

Tango one, tango two, huku right nacheki wabantu
Tango one tango two huku left nataka mikono juu
Toto si anataka babysitter
Na anarecommend apo ukuwe footi sita

Ndo tunaanza date na ushalia baby fever
Tuko intro bado na ushaanza umemaliza
Bado niko starter na umeanza unaniskiza
Baby please reeeelaaaaxxxxxx
Naona tumeanza one zero
Naona umeanza na mafinyo
Naona unapenda sana nginyo
Tuko honeymoon na unasema una mashiro
Khai bad manners, naona tukipendana tutafanana
Craving zako zote ni banana,aki walai ukipeana tunaachana



Credits
Writer(s): Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link