Nalia Na Mengi (feat. Chidi Benz)
Me niliambiwa mapenzi ni kama bahari
Ukishazama ndo basi umepotea
Kumbe mwenzangu alikuwa na tanari
Badala ya kuzama me kwangu akaelea
Akawa ananidanganya
Nikiwa nadhani ananipenda sana
Mikwanja nikamwaga mama
Japo sio kivile ila kwangu ya maana
Wakawa ananidanganya
Nikiwa nadhani ananipenda sana
Mbona mifedha nikamwaga mama
Japo sio kivile ila kwangu ya maana
Wakaja wajinga wakamchukua
Wakamhonga honga mwisho wakamnunua
Wajinga wakamchukua
Wakamhonga honga mwisho wakamnunua (ayayayayaaaa)
Usinione nalia (ra), usinione nalia (ra), mwenzenu nalia na mengi
Usinione nalia (ra), nalia (ra), sababu ya mapenzi
Mwenzenu nalia (ra), nalia (ra), nalia na mengi
(Uuuh) Jamani nalia (ra), nalia (ra), sababu ya mapenzi
Najua alimaanisha kuwa simfai ila lakini angesema
Kuliko alichofanya me akantoa nishai akanimeza akanitema
Nyie mapenzi yanauma vibaya, vibaya, vibaya
Mmmh mapenzi yanauma vibaya, vibaya, vibaya
Ile ghafla safari
Ndio inanifanya mi usingizi sipati
Huwa nakumbuka mbali
Hasa nikisikia harufu yake ya marashi
Me kwa uchungu nilivyoumia
Nikaandika hili songi la mwanduku nalia
Na vocal nikaingiza kwa hisia
Naimani iko siku nyimbo itamfikia
Me kwa uchungu nilivyoumia mie
Nikaandika songi la mwanduku nalia
Na vocal nikaingiza kwa hisia
Naimani ipo siku nyimbo itamfikia (ayayayaaaa)

(Uuuh) jamani nalia (ra), nalia (ra), sababu ya mapenzi
Usione nakosa raha mama nalalama kwako mara kadhaa
We ni msaada kwenye tuta so ukichomoka balaa
Sijiwezi kwangu giza naweza kimbiza na hii taa
Na hilo unajua inavyoumiza ushashuhudia mara kadhaa
We ndo urithi wakung'ang'anie ninung'unike nilie
Njia yetu moja niache nipite suka usinibanie
Kwa mahaba ya kinyamwezi na swaga zako juu
Na miguu napata picha kitandani kungfu
Uko juu ukipita lazima wasome namba
We ndo kibri fimbo kiboko ya midomo mamba
Huu ndo mfano hata unajua neno pamba sifa yake
Kwa kitambo ntakulinda kama mkinga mwenye shamba
Mikogo kila leo ntajigamba nusu soldier nusu mpweke
Kisela piga teke inauma
Usiombe mapenzi yakupige teke inauma
Usiombe mapenzi yakupige teke eeeh bounce

Credits
Writer(s): Naseeb Abdul Juma Issack, Chidi Benz
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.