Halima

Alisema jina lake ni halima
Halima
Aki walae wanifanya me mjinga
Yea
Yea
Baby
Sura yako
Faya
Faya
Wafanya ma vijana wana
Gwaya
Gwaya
Na tabasamu lako baby
Tamu sana
Mawazoni umekwama
Me nisha pagawa
Najua waniwaza pia
But baby
You just
Too damn proud
So imma be the
Engineer
Of this new found love

Nipende
Nipende
Nipende

Staki ma pressure
Raha mimi ndo nasaka
Nikiwa nawe yote mimi naipata
Nawaka waka baby mimi nakudata
Nitakazana hadi siku ntakupata
Umenikwama hadi damu inaniganda
We ni wa Rwanda kenya ama Uganda
Na tukivibe si unajua itakua blanda
Ju ki designer itabaki
nmekupanda
Mficha uchi hazai
Na mimi nakudai nakudai
So baby cheza nice
Nikuvibe na malines
Compromise
Kama love ni vice baby

Nipende
Nipende
Nipende

Wacha china
Love yangu original
Friend zone
Staki story za umorio
Urimo
Niko ready nipe signal
Wacha ku ignore
Nimechoka
So baby we kubali nachosema
Masiku zinakuja zikienda
Usikubali baby tukule calendar
Ju wenye wivu watakuja kututenga
So baby mbona unikatae
Nimengoja sana leo
U

Nipende
Nipende
Nipende
Nipende

Right now am feeling
You you you
Ndani ndani yani kwenye
Rohoho
Ukiwa mbali nakuwaza yani
Thoughts on you
Na sio mwili yako baby but your soul
Oh baby you should know
Vile me huhisi jooh
Nitulize roho
I'll be holding on to you



Credits
Writer(s): Ian Kangiri
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link