Jini Kisirani

kama upepo pepea kunifata mimi shoga ee
na kama bifu nmebobea hata uende kuroga eeh
na maneno unaongea kumbe una nguvu za soda
eeh kazi kunisema kwa watu ukiniona unazuga eeh
kugombana na mm bado naona km unanuka baba bado
facebook twitter huzijui bado ata insta live huijui bado
unapenda jinadi kujikuta unajua kumbe mambo bado
achana nami mwenzio long time mpaka leo gado
jini kisirani
we ni jini kisiran
yanakupanda we ni jini kisirani
wakikugusa yanakupanda eeh
wakikuchokonoa eeh yanakupanda
jichungeee usifate zangu nyayo ukifata zangu nyayo utapiga sana miayoo
kwnza unanionaje kila siku mm ninapanda bei

unachunda we ntantarira zako zitakuponza wee
Badamu batamwagikamwagika na utazoa mwenyewe
Ukizileta zitapangikapangika nikuache upangue (mwenyewe)

Kugombana na mm bado naona kama unanuka baba bado
Facebook twitter huzijui bado
Ata insta live huijui bado
Unapenda jinadi kujikuta unajua kumbe mambo bado
Achana nami mwenzio long time mpaka leo gado
Jini kisirani
We n jini kisirani
Wakikugusa yanakupanda eh
Wakikuchokonoa yanakupanda eh
Jini kisirani Jini kisirani
We ni Jini kisirani



Credits
Writer(s): Lugendo Kileo, Lulu Mkongwa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link