Nasheed

ewe nafsi ndani yangu
nihurumie mwenzangu
udhaifu mwili wangu
mbele ya mwenyewezi mungu
nauogopa ulimwengu yasinifike
machungu sakarati ya mauti dunia naikimbia

kanitangulia mamangu
mebaki na ndugu zangu
awalinde bwana mungu
itakapofika kwangu
nauogopa ulimwengu yasinifike
machungu sakarati ya mauti dunia naikimbia

allah ya wadudi
mja wako nihurumie
wewe ndiye swammadi
mola wangu niridhie
imefika ahadi yako kwako nikurudie sakarati ya mauti dunia naikimbia



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link