KACHIRI

Kwa kulia kushoto
Tuna lihamsha dude
Ganga moko, baikoko
Yenye gwede gwede
Mwenzenu amelewa, gachani kamzamba malewa
Uh, amelewa kataka kubebewa
Usije cheza kiduku watakucheka
Gwala gwala na shaku shaku ndo zinatesa
Oya bah, bah, Banjuka Tu
Jihachie yani banjuka tu
Bah, bah, Banjuka Tu
Jihachie yani banjuka tu
Mwajuma anakoshaga ukicheza singeli
Kiuno ukizungushaga kama baskeli
Nipe za Awilo Longomba
Tusearch search, kama unadaiwa
Za Papa Mobimba, tusearch search
Twende kachiri, kachiri saga
Oya kachiri saga, kachiri, kachiri saga
Sasa kachiri saga, kachiri, kachiri saga
Dada kachiri saga, kachiri, kachiri saga
Oya kachiri saga
Asa Do-La-Mi-Fa-So-La-Ti-Do
Cheza kwa madoido
Usije shikishwa ukuta
Kwakupenda biya za offer
Siupunguze kokoro
Tusirudi na gongoro
Soku soku na kololo, Shikorobo
Ukilewa ruhusa kumwaga razi (Ahi yaya)
Wemwaga razi, akuna ma paparazzi (Ahi yaya)
Mwaga maji liwe tepete, nikiliona na fumbasika
Likisheza chura, nikiliona na fumbasika
Mwajuma anakoshaga ukicheza singeli
Kiuno ukizungushaga kama baskeli
Nipe za Awilo Longomba
Tusearch search, kama unadaiwa
Za Papa Mobimba, tusearch search
Twende kachiri, kachiri saga
Oya kachiri saga, kachiri, kachiri saga
Sasa kachiri saga, kachiri, kachiri saga
Dada kachiri saga, kachiri, kachiri saga
Oya kachiri saga



Credits
Writer(s): Kg Telvo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link