PIUPIU (feat. Bryvvn, ChozenAfitra, 7AY, Prince.Wasabi, Vandrel & Bussa J)

Wanna ball like soccer
Gwan Lavida lockaa
Ma time nanyonga nyoka
Ngwati ikinichocha
She a dirty talker
Suck man with di choker
Why u nosy like coca
On cardi kaa poker

Story ilienda hivi wachanikushow
Achieng alikuwa anatupea hio show
Ilukuwa zile za slow mo
Oh no!
Mabottie zimemwagika kwa floor
Hii beat ni crazy skia flow
Daisy alinipull hapo kwa store
And that's a storo for tomorro

Dame alicome na ka rende mi nilicome na bakora kuchora ka form
Msee alidai kuniseti, mi nikahepa kwa keja kucheza na ndom
Washa
Ben alicome kuniplug ile brown ya bahasha
Vasha
Wasee wanadai kunischool kwani tuko darasa?
Mbona unawaza my G ile dough inacome yaani form ya visasa
Bruh nilicover my G yule dame alitaka kuharibu standard
Yaani ma games za vijana
Bibi wawili ni standard
Chapa ka keg na kuchana
Bruh ninafeel nimepeel hiyo jaba

Kama si safi si ya huku
And I like my money in twos
Jaba juice
In the stu
Is how we do
Peep peep
Shawry nampatia kiti
Denge ni mrembo kafiti
Kalisi
Still look fine -kamisi
Can't go missing

Inaonekana
Goons na magoats wamechana
Chachisha mchana
Leo toka jana
Begi ilipatikana
Denge amepigiana
Leo boti
Anashikiana
420 ndo tutoke hapa
Tukiwapata maboys wana wing
Me naichapa
Juu Leo hiyo phone ikiring
Tunatoka hapa
Omega alfa
Juu leo huyo dame akiringa
Rafiki yake
Atakipata
Juu leo huyo peng akiwink
Leo nitasink
Napiga mambata
Asali na nyuki nafuata
Patana na maji nakata
Nachoma mandom na mafuaka
Nakula mapeas nakula nafaka
Napenda maheight kiuka kipaka



Credits
Writer(s): Jermaine Kanema
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link