Niache

Kwamba muziki hauitaji akili mbili
Na kwenye show watu wasiwe na ubahili
Au ni vip mnataka tuwape tuzo za killi
Si brand itakua na mtaongeza madili
Mi kaka zangu atuko poa kisa doh
Wananipima kwa shule na wa pima kwa pesa broh
Na mechi atutaki we wahi au chelewa
Yan wote tunataka zile point za kupewa
Tangu mama kaingia mnaimba matusi
Uhuru bana uhuru kwa wavuta nyasi
Na hata mkiambiwa mnakuja kasi
Dogo huijui sanaaa kwanza huna nafasi
Maskin akipaata hulia mbwata eeeh
Utaskia kiwango kimeshuka kwa samara ee
Skuiz iz nyama zote anakula rasta eeeh
Mahubiri ya mapenzi kwa ma pastor ee

Lugo mniachee

Ni birthday zinafanya uwe maskini
Wenzako hatujui hata tulizaliwa lin
Trouser sa inashuka si ubane kwa pini
Naskia kuna kabinti we ndo baba ake mjin
Skuiz Nyasubi kama kino
Wanaongelea swimming
Hawa matunda capacino
Hawawezi nizoea king
Hua hampigi simu
Ni picha na watu walofanikiwa
Baadae mnatutext pale mkiishiwaa
Nasiachi kuwa ombea
Muishi sana au niaje
Mana nikisema ku waoshea
Mkifa mbali nitafikaje
Nakupa story ya familia unahisi siwapendi ee
Demu wangu ni mziki sasa ana bendeee
Na sjui kula bata kila weekend eeee
Kama sjakujua siwez pretend eeeh



Credits
Writer(s): Lugondo Lugondo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link