P-Tah Wa Furu
Yeah
Kua sincere since ni come here nime sinzinzia
Ni me see talanta missing haki come you see
Na wana move funny but hakuna space for clowns
Tanga tanga mjini kuuza fanny gizani
Na siwezi bagua vile wana fikisha zao mezani
Yangu ni crown me u paint words
Niku leteee bigger picha get the picture
Na wa ligi ndogo waki cheza na crayons, na si kwa ubaya, mayo
Mistari zimeoga na kuenda shule kuletea mizani kwa streets
Ka M01 sitaki upizani
Ofcoz na cheza na excelerator jua ya hii thrown, see you later
Kwa sasa kutafuta majani kwa hii journey bila kupumzika
Nanisha rest enough niki tafuna majani na vijana ki wanjani
Mpaka sasa wengine wajala uliza wanjala
Bila kuitisha sadaka na i-skuma ka injili mpaka mwembe tayari
Uko tayari? hii si try zeks, au kajaribus, naenda all in
Bila spare ta-iri checki styling vile ina stahili from a ill star
Na ku show-case kipawa mi uwa tayari kama paka power
Ajab talanta mingi ka miguu za paka ya Agip
Hii ni kichana khani, na ina rhyme achee
P-tah wa furu
Doing what i love and loving what i do
Trust me wanapiga nduru mpaka Kamulu
Bending words keeping true vile na come through
Tapi 58 naiweka true
Doing what i love and loving what i do
Trust me wanapiga nduru mpaka Kamulu
Bending works keeping true vile na come through
Yeah, vile na come through
Bila drip au madame nisha grip game na si for fame
Iron thrown imetosha frame
Au wengine lame wana pata flames na usini blame
Ka train ya mwisho jioni nili join uko mwisho
Na sioni niki flop vile mi u jog na leapfrog
Leta nyoko nyoko pata karate chop
Gary vee jab jab right hook wana book
Ares na faa beat ya mwomboko
Nikue rich ni buy plot mavoko
Ama nichapie mavo on the beat
Na hizi ni clean bars siwezi ingiza ma
Niko kazi bado Nguo ni za soko
Na ka viazi siwezi ringia watu mavazi
Nani mkali
Ooh my gosh is he sending for Khali
Zi na fikiri amesema Mwikali
Ama ni Jua cali?
I think ame sema serikali
Wacha pang'a pang'a teka skio
Wakinioji utajua mi ni fan wa hawa ma OG
Tangu enzi za Kiasi mpaka Yego
R.I.P competition
Either way na ji trust ka ruff ryder
Man a thriller big up Swersyder
Mahali nimetoka trust nikisema ni meona kiangazi
Elevation ime kua chap chap kwa rap
Juu nina key ya ngazi
Just as important as making it
Ni ku jua ku angalia ganji
Na Julikana kama ghandi
Bila luku na pigania ndugu
We julikana ka baddy
Juu ya kukula ya ndugu na maduku
Ku Own the basics kwa maisha ni necessary
Imagine kensalt iwe si ya mkenya
Naka we ni janjez unamenya
Lowest hanging fruit hapa nikusengenya semenya
Badla wa mtreat ka-star vile au u-treat pastor
Nganga-na mtaani uki uza bairo ya bic
Ukilola pen man ship nika advert ya endorsement
Ma vushing jua ya speaker pendos cement kwa heart ya fan
Toa koozi tema sanifu bila kamusi ka Muki rai
Changanya ngeli na erufi baki umezi rai

Credits
Writer(s): Peter Mutisya
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.