Bounce Back (feat. Baby)
Hili game mi nalijua kabla hata sijaanza licheza
Ka demu bado hajakua au mwali ambaye bado hajachezwa
Niite protege wa HBC au unit ya kwanza
Ka ni usanii it's been years tangu siku nilioanza
Enzi za mziki ni hobby kabla hauja-turn biashara
Kabla ya Rhyme Light, enzi ya FM na Galaxy Kimara
Kabla ya hizi FM rhyme kachitenda mi nachora
Kabla kina Mam albamu hawajaanza kugonga nakala
Tangu game changa promota Mali Kipanga
Game mlangoni unalipa, ndani si hatari unapanda
Ka sio Bills, Vegas kabla Diamond hajaanza jaza
Flow Jamii hajaanza leo, wala hatuanza lipwa fedha
(Tangu) enzi game chafu watu daily bunda kwenda studio
Na hakuna cha computer ngoma inaundwa kwenye keyboard
Enzi hizo Bongo mziki ulioshika ni Taarabu na Bolingo
Si ndo chanzo cha mpaka ikafa Taarabu na Bolingo
Hili game!
Nimetoka kwenye msoto oh
Hapa nilipo mabadiliko nusujua nani
Na bado nipo ooh
Mi nasaka mshiko niwape vitu flani
Hili game, hili game
Hili game game game game tough
Hili game, hili game
Hili game game game game tough
Sio tena tough kama enzi Nature alivyoimba
Ila siku hizi kutafuna ndafu ili kuwa nyota kawaida
Media zote shaavu, studio artist anaenda na ndinga
Video moja nguvu, shoo bila milioni tatu hajagonga
Ndo game ya kisasa haiendi bila AJ na Nisher
Naekeza pesa bila hivyo there's no way italipa
Fans asifii mistari tena, nowadays kichupa
Hamna vina hamna MCs tena, nowadays ni rappers
Zamani hamna manager, Babu Talle alikuwa mshikaji tu
Siku hizi brother Sela sio manager ana kipaji tu
Duuh! Ndo jinsi game ilivyo-change
Zamani it was for the love of the game, now it's for change
Kila mtu amekuwa msanii, wachache ndo wenye vipaji
Na ukute uvisikii 'cause ili watoke wanahitaji mtaji
Wengi wababaishaji ndo maana huvutii watazamaji
Game gani ya kuiga wapogo na wasauzi, mbona wenyewe hawatuigi?!
Nimetoka kwenye msoto oh
Hapa nilipo mabadiliko nusujua nani
Na bado nipo ooh
Mi nasaka mshiko niwape vitu flani
Hili game, hili game
Hili game game game game tough
Hili game, hili game
Hili game game game game tough
Ah!
Wengi imewashinda kwa ukosefu wa nidhamu
Wengine wamedunda shauri ya beef na redio ya FM
Hata ka ngumu jifunze usimletee pozi shabiki
Isije ikaku-cost ukaanguka fani ikawa ndo basi
Wengine wakali ka wa kina mimi ila ndo hatuna zari
Lakini waliokuwa na zari, masikini leo mateja hatari
Bora sikuwa na zari kuliko nisingekuwa na mistari
Inayofanya hadi leo niwe na heshima ya u-legendary
Kwenye game, wengi wamekuja wametamba na wameniacha
Ngoma hazijachuja bado tu zinabamba na zina miaka
Na kama ni stanza bado tu zinatungwa za uhakika
Kabla hizi kampuni hazijaanza mwaga mpunga tunaoshika
Leo hadi kampeni tumo tunawapamba wanasiasa
Hamna lolote tumo ili tule mpunga wa wanasiasa
(What a shame) wengi hawajajenga wamekimbilia kuendesha
Ukiona ndinga unaweza hisi wanaishi majumba ya ghorofa

Credits
Writer(s): Larry Blackmon, Terius Gray, Byron O. Thomas
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.