Beer Tam (feat. Visca)

Kamata kamata kamata, kamata!
Kamata kamata kamata, kamata!
Kamata kamata kamata, kamata!
Kamata kamata kamata, kamata!

Niacheni tu nile bata, zama za kale nishainyeka (Sana)
Niacheni tu mi nienjoy, huko zamani nishaumizwa(Sana)
Niacheni tu nile bata, zama za kale nishainyeka (Sana)
Niacheni tu mi nienjoy, huko zamani nishaumizwa

Maisha mafupi baby, ukikunja kunja sura utazeeka
Usikunje kunje sura utazeeka
Usibane bane sana utazikwa nalo

Enjoy life is too short
Kamata kamata kamata, kamata!
Kamata kamata kamata, kamata!

Eti baby wangu anivuruge ubongo
Hata kazini kwangu anichanganye kichwa
(Mmhh! weeh! sio kweli)Weeh! Beer tamu

Asikwambie mtu tu tu beer tamu
Beer beer, mitungi beer tamu
Ah! Yii! Beer tamu
Asikwambie mtu tu tu beer tamu
Beer beer, mitungi beer tamu
Ah! Yii!

Nani kamwaga pombe yangu? Nauliza
Eti nani kamwaga pombe yangu? Nauliza
Jamani kamwaga pombe yangu? Nauliza
Eti nani kamwaga pombe yangu? Nauliza

Mi nishalewa, niko chakari nishalewa (Mi nishalewa)
Mi nishalewa, nyaka nyaka nishalewa (Mi nishalewa)
Mi nishalewa, sijielewi nishalewa (Mi nishalewa)
Mi nishalewa, hapa nitazima nishalewa (Mi nishalewa)

Kamata kamata kamata, kamata!
Kamata kamata kamata, kamata!

Eti baby wangu anivuruge ubongo
Hata kazini kwangu anichanganye kichwa
(Mmhh! weeh! sio kweli)Weeh! Beer tamu

Asikwambie mtu tu tu beer tamu
Beer beer, mitungi beer tamu
Ah! Yii! Beer tamu
Asikwambie mtu tu tu beer tamu
Beer beer, mitungi beer tamu
Ah! Yii!



Credits
Writer(s): Wz Beat
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link