Mimina

Mimina! mimina
Leta tungi mimina
Leo ni mwendo wakuwaka
Na kuzima mimina

Mabaharia toka buza tupo tunamimina
Mimina
Mimina
Mimina
Mimina
Mimina
Mimina

Mpaka morning trumpet kokoliko
Ni tungi juu ya tungi utadhani mafuliko
Tunadondosha gambe mwanzo mwisho
Tukishawaka hapa ni kuruka tu madisco

Turn up turn up

Hennessy
Miminaah
Nyagi
Miminaah
Vant
Miminaah!!
Ulanzi
Miminaah
Mpaka gongo
Shusha vyombo
Leo ndio leo tunaliamsha popo

Hennessy
Miminaah
Nyagi
Miminaah
Vant
Miminaah!!
Ulanzi
Miminaah
Mpaka gongo
Shusha vyombo
Leo ndio leo tunaliamsha popo

Tumeshawaka kifuatacho ni kulipuka
Nayumba yumba acheni niegemee ukuta
Waliozima kwao wapelekwe na guta
Waita waita toa chupa weka chupa

Eeeh
Tuna ball ball
Leta more more
Usikae kizembe njoo tumimine vyombo
Leo ni show show
Ya mapopo
Sio kinyonge huku ni moto juu ya moto

Yeah Yeah

Nyonga
Washa
Tungi
Bapa
Kunywa waka
LEO MPAKA MAJOGOO
Kula
Bata!!
Fanya fasta
Toto kamata
Eeeh

Mimina
Mimina
Leta tungi mimina
Leo ni mwendo wakuwaka
Na kuzima mimina

Mabaharia toka buza tupo tunamimina
Wakishuwa wauswazi wote tunamiminaa

Mimina
Mimina
Leta tungi mimina
Leo ni mwendo wakuwaka
Na kuzima mimina

Mabaharia toka buza tupo tunamimina
Wakudanga wavitonga wote wana mimina

Hennessy
Miminaah
Nyagi
Miminaah
Vant
Miminaah!!
Ulanzi
Miminaah
Mpaka gongo
Shusha vyombo
Leo ndio leo tunaliamsha popo

Usikae kizembe bila ya kinywaji leo ni mwenda wa kuball piga ata glass moja
TunaVibe tunapandisha midadi kichwani maruweruwe utasema tumerogwa
Mimina iwe soda au nyagi arafu kifuatacho ni macheers tu kugonga
Mimina tu ata yakiwa maji ilimladi una drink we mimina ata tongwa

Yeeh
Mdodo mdogo slow we unamimina mimina eeeeh
What you waiting for mimina mimina
Eeeeh
Oya anza tukumimina

Mimina
Mimina
Leta tungi mimina
Leo ni mwendo wakuwaka
Na kuzima mimina

Mabaharia toka Chuga tupo tunamimina
Wakishuwa wauswazi wote tunamiminaa

Mimina
Mimina
Leta tungi mimina
Leo ni mwendo wakuwaka
Na kuzima mimina

Mabaharia toka buza tupo tunamimina
Wakudanga wavitonga wote wana mimina

Kokoliko
Ni tungi juu ya tungi utazani mafuliko
Tunadondosha gambe mwanzo mwisho
Tukishawaka hapa ni kuruka tu madisco



Credits
Writer(s): Emmanuel Chamzim
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link