Am In Love

Oooh oooh ooww
Muullah
Keiyoo
I gotta sing for my baby now you know

Mimi kwako nmekwama kinani nmeshazama nmekwisha kabisaa
We ndo wa maua mi ni sama nakupenda sana basi punguza visa
We ndo raha yangu mii we sema watakaniini nitakupa
Kistriker uwanjanii ball pasi gambani nyavu natikisaa
Yeah nikiwa nawe nafurahia
Kwenye kingdom yangu we malkia
We ndo zawadi bora katika hii dunia
Tukikatisha mitaa wanatutamania
Figure nane namba yani thamania
Tukitembea napenda we ukitangulia
Zile wego wego wego wego yeah
Hauna zogo mdg mdogo ukiongea

Am in love am in love am in love my Beib
Am in love am in love nafrah nkiwa na wewe
Am in love am in love am in love my Beib
Am in love am in love nafrah nkiwa na wewe

Lafudh flani mambo ya pwani unipatia
Ukinyonga taratibu ndani unanifunyia
Ladha yako ya Zabibu km umechanjia
Mi ndo wako Habibu kopa nakumwagia
Kukutunza wajibu mchumba nagharamia
Nakulaza kifuani ruksa kunidekea
Wendo wangu mwandani my Teddy bear
Kukukosa sitamani you are santa clair
I love your body
And de way you do de dance on me
Sho ma bami lole mo fe moh
Nmedata mamii
Kwako sioni walaa sisikiii
Wapige Kelele Shauri yaooo

Am in love am in love am in love my Beib
Am in love am in love nafrah nkiwa na wewe
Am in love am in love am in love my Beib
Am in love am in love nafrah nkiwa na wewe

We ndo raha yangu mii we sema wataka niini
Kistriker uwanjanii ball pass gambani
I love yo body and way you do de dance on me
Sho ma bami lolee mo femoo
Nmedata mamii kwako sioni wala sisikii
Wapge kelele shauri yaooo

Credits
Writer(s): Rashid Ally
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link