Confidence

Upo nami
Kila siku kila saa
Sina hofu sina uoga Baba
Toka zamani
Ulinijua haswa
Ukanitenga ukanitakasa
Umesema nisiogope
Maana upo nami
(Maana upo nami)
JEHOVA Shalom
Mfalme wa amani
(Mfalme wa amani)

Jasiri kama simba
Nipo imara siwezi yumba
Nazijua siri za Muumba
Hatima yangu huwezi yumba
Jasiri kama simba
Nipo imara siwezi yumba
Nazijua siri za Muumba
Hatima yangu huwezi yumba

You give me confidence
More confidence
Oh God
You give me confidence
More confidence
Adonai
You give me confidence
More confidence
Oh God
You give me confidence
More confidence
Adonai

(Unanipa ujasiri sa... mi nadunda)
(Unanipa ujasiri sana Adonai)
(Unanipa ujasiri sa... mi nadunda)
(Unanipa ujasiri sana Adonai)

Unanipa ujasiri kama simba
Na sababu bilioni za kuimba
Maana kwa imani napata
Kila nnachotaka
Hata nge na nyoka
Kwa mguu nawaseta
(Confidence)
Umenifanya star
Mpaka mchana kamili nang'aa
Siitwi tena nsiyefaa
Mbali na mikosi na balaa
(Confidence)
Baba ukisema nasikia
Naijua sauti yako
Wee... ni kweli na njia
Na uzima upo kwako
Wee... ni simba najua
Nami ni uzao wako

Jasiri kama simba
Nipo imara siwezi yumba
Nazijua siri za Muumba
Hatima yangu huwezi yumba

You give me confidence
More confidence
Oh God
You give me confidence
More confidence
Adonai
You give me confidence
More confidence
Oh God
You give me confidence
More confidence
Adonai

(Unanipa ujasiri sa... mi nadunda)
(Unanipa ujasiri sana Adonai)
(Unanipa ujasiri sa... mi nadunda)
(Unanipa ujasiri sana Adonai)



Credits
Writer(s): Majaliwa Kaminyoge
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link