Benga Na Mugithi (Dubb) [feat. Swat Matire, Joefes, ODI WA MURANGA & Harry Craze]

By Fathermoh ft. Swat Matire, Joefes, Odi Wa Murang'a & Harry Craze

Fathermoh
Benga na mugithi
Nakaguza goshodo kanalilia zizi
Pewa chupa kushoto kulia choma doobie
Lewa anguka simama ongezewa mbili
Benga na mugithi (githi)
Hii ni doba inafanya uskie dhidhi (dhidhi)
Alakas ona nyuma Ina bidii (bidii)
Hii ni kali mnaimba juu inabidi (ayayaaa)

1 Swat
Enzi za moi ka ni ras ni mungiki
Enzi za Kibaki ka ni dredi we ni mwizi
Enzi za uhuru dredi zikapewa huru
Sikuhizi nko na dredi mi ni ras mi si mwizi
Sikuhizi nko na dredi mi ni ras si mungiki
Madam amka tuzitoke ki Mugithi
Utakata bale ama utakata chingri
Madam amka tuzitoke ki mugithi

Fathermoh
Benga na mugithi
Nakaguza goshodo kanalilia zizi
Pewa chupa kushoto kulia choma doobie
Lewa anguka simama ongezewa mbili
Benga na mugithi (githi) Hii ni doba inafanya uskie dhidhi (dhidhi)
Alakas ona nyuma Ina bidii (bidii)
Hii ni kali mnaimba juu inabidi (ayayaaa)

2 joefes
Benga na mugithi
Tingigisha bega ruka nikama zip imeshika fudhi
Nimekuja na mbogi chunga sana usiniudhi
Usiwashe bangi hapa nyumba ni ya makuti
Cheza fela kuti mkia ndo sivuti
Moshi ya leo nzito joh kuliko jana
After marijuana ndo wengi tulijuana
Chini ya maji mi hufanya ka yohana

Bana

Fathermoh
Benga na mugithi
Nakaguza goshodo kanalilia zizi
Pewa chupa kushoto kulia choma doobie
Lewa anguka simama ongezewa mbili
Benga na mugithi (githi) Hii ni doba inafanya uskie dhidhi (dhidhi)
Alakas ona nyuma Ina bidii (bidii)
Hii ni kali mnaimba juu inabidi (ayayaaa

3 Odi wa Murang'a
Yeah, benga na mugithi, itaasha maiti
Strpper kwa iyo pole apigwe na mashilingi
Ikue Kariokor sherehe sikosi mimi
Hii ni tik tak toes na beat sibakishingi
Mathare tulifunzangwa adi anatomy
Na vitu mingi mingi buda nakupea summary
Upuzi mingi mingi siku izi ndo huleta salary
Bridgit Achieng' alianikwa ndethe what the fuckery

Fathermoh
Benga na mugithi
Nakaguza goshodo kanalilia zizi
Pewa chupa kushoto kulia choma doobie
Lewa anguka simama ongezewa mbili
Benga na mugithi (githi) Hii ni doba inafanya uskie dhidhi (dhidhi)
Alakas ona nyuma Ina bidii (bidii)
Hii ni kali mnaimba juu inabidi (ayayaaa)

4 Harrycraze
Nabonga nabonga ju bana doba kali
Na niko jaba nachonga cheki ongeza makali
Hakuna sanse hapa bana rada ni safi
Skiza benga na mugithi na sikuo di nari
Cheki dili dali hii mistari inafanya
Inafanya sana nianguke chini yaani
Vic cheza mabeats joh kimseto
Hakuna time (Kwani ni keshooo)
Badness

Fathermoh
Benga na mugithi
Nakaguza goshodo kanalilia zizi
Pewa chupa kushoto kulia choma doobie
Lewa anguka simama ongezewa mbili
Benga na mugithi (githi) Hii ni doba inafanya uskie dhidhi (dhidhi)
Alakas ona nyuma Ina bidii (bidii)
Hii ni kali mnaimba juu inabidi (ayayaaa)



Credits
Writer(s): Moses Otieno, Joseph Getugi Nyamweya, Francis Macharia, Boniface Mwangi, Harry Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link