Body Cream

Anha
Wah gwan wah gwan eeh eh gyal eeh eh eeeh
Uuuh

Mwenzio najiuliza
Mwenzio najiuliza babe ooh
Hivi nipo kwa giza Mbona unapitiliza
Hunisomi ooh
Mwenzio najiuliza
Mwenzio najiuliza aye babe oh
Nipo kwa giza unapitiliza hunioni oh

Mmh mi blood streams flow like a river nile
Straight to the ocean mwenzio najiuliza why
Uh babe eh
Your body cream it ah smooth ya and you loose ya sight
Ndo unajikosha
Mwenzio unaniumiza why

Gyal
Mmh Girl
What ya know
Mkuki kwenye roho umenichoma huoni soo
So unafanya ubabylon yeh
Where you go
Nataka ubaki hom ila unaniona bishoo tena unaniita bitozi yeh
What you know
Mkuki kwenye roho umenichoma huoni soo
So unafanya u-babylon yeh
Mi nataka ubaki nyumbani

Mmh mi blood streams flow like a river nile
Straight to the ocean mwenzio najiuliza why
Uh babe eh
Your body cream it ah smooth ya and you loose ya sight
Ndo unajikosha
Mwenzio unaniumiza why

Gyal
Mwenzio najiuliza mwenzio najiuliza babe ooh
Hivi nipo kwa giza
Mbona unapitiliza hunisomi ooh
Mwenzio najiuliza mwenzio najiuliza aye babe oh
Nipo kwa giza unapitiliza hunioni oh



Credits
Writer(s): Erick Masasi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link