Imani Yangu

Nasimama kwa neno lako
Nasimama, nasimama
Nasimama kwa neno lako
Nasimama, nasimama

Imani Yangu ipo kwako
Tegemeo langu ni wewe tu
Imani Yangu ipo kwako
Tegemeo langu ni wewe tu

Uuuuuuuu

Nipitapo bondeni mwa mauti
Umesema hutoniacha
Uniongozaye kwenye maji matulivu
Umesema hutoniacha
Mwamba wangu, mchungaji wangu
Sitapungukiwa kitu
Uniongozaye kwa njia za haki na kweli
Ating'o wang'a malo karango gode
To ang'eyo ni konyruok na
A mana kuomi baba
Ating'o wang'a malo karango gode
To ang'eyo ni konyruok na
A mana kuomi baba

Imani Yangu ipo ipo ipo kwako
Imani Yangu ipo ipo ipo kwako
Tegemeo langu ni wee ni wee
Ni wewe tu
Tegemeo langu ni wee ni wee
Ni wewe tu
Imani Yangu ipo ipo ipo kwako
Imani Yangu ipo ipo ipo kwako
Tegemeo langu ni wee ni wee
Ni wewe tu

Nasimama nasimama nasimama eh
Nasimama kwa neno lako
Nasimama nasimama nasimama eh
Nasimama



Credits
Writer(s): Ben Kibwana
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link