Shangwe

Lya lya lya lya...

Shangwe shangwe mama.
Ni furaha kwetu ni furaha kwenu
Maisha yenu yaungana na sala yetu
Mungu awaangaze
Shangwe shangwe mama.
Ni furaha kwetu ni furaha kwenu
Maisha yenu yaungana na sala yetu
Mungu awaangaze
Ni siku njema ah ni jambo jema ah
Na watu wema ah nawaza mema ah
Ni siku njema na watu wema
Ni siku njema aah
Baba na mama ah, kaka na dada ah
Washerehekea ah wana furaha ah
Na majirani, ndugu rafiki
Wamejaa furaha aah
Shangwe shangwe mama.
Ni furaha kwetu ni furaha kwenu
Maisha yenu yaungana na sala yetu
Mungu awaangaze
Shangwe shangwe mama.
Ni furaha kwetu ni furaha kwenu
Maisha yenu yaungana na sala yetu
Mungu awaangaze
Lya lya lya lya...

Haba na haba ah, hujaa kibaba ah
Hatua moja ah ndio huanza ah
Hizo hatua zaanzia hapa
Ikawe baraka aaah
Na familia ah, ilobarikiwa ah
Ilojaa heshima ah upendo pia ah
Yenye furaha nguzo imara
Muipate pia aah
Shangwe shangwe mama.
Ni furaha kwetu ni furaha kwenu
Maisha yenu yaungana na sala yetu
Mungu awaangaze
Shangwe shangwe mama.
Ni furaha kwetu ni furaha kwenu
Maisha yenu yaungana na sala yetu
Mungu awaangaze
Lya lya lya lya...



Credits
Writer(s): Bonus Ansgar Lwiwa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link