Utamu

Kama Ndoto
Kuwa nawe yaani ndoto
Nilitafuta sehemu zingine
Nikaja kulipata kwingine
Ooh Rahaa... naona raha
Raha ya kupendwa
Rahaa... naona rahaa
Raha ya kupendwa
Rahaa... nahisi rahaa
kila unapocheka
Rahaa... nahisi rahaa
Unanipendeza
Ukipanda napanda nawe
Ukishuka nashuka nawe
Mwanasesere nshakua mie
Kwakeee yeyee
Ukipanda napanda nawee
Ukishuka nashuka nawee
Mwanasesere nshakua mie
Kwakee yee
Ananipaga utamu utamu tam
Nimelewa na utamu utamu tam
Aniuwa na utamu utamu tam
Utamu utam utamu tam
Ananipaga utamu utamu tam
Nimelewa na utamu utamu tam
Aniuwa na utamu utamu tam
Utamu utam utamu tam
Nitamu asali unayonipa wee
Mwisho ukingoni ushanifkisha wee
Katu sikinai
Siombi hata kuwaza kwingine
Naitwa kisiki
Kwako sishikiki
Tufanye ka quickie
Kesho iwe kiki
Rahaa... naona raha
Raha ya kupenda
Rahaa... naona rahaa
Raha ya kupendwa
Rahaa... nahisi rahaa
kila unapocheka
Rahaa... nahisi rahaa
Unanipendeza
Ananipaga utamu utamu tam
Nimelewa na utamu utamu tam
Aniuwa na utamu utamu tam
Utamu utam utamu tam
Ananipaga utamu utamu tam
Nimelewa na utamu utamu tam
Aniuwa na utamu utamu tam
Utamu utam utamu tam
Mmhhh.moyo umepona
Moyo umepozwaaa
Mashaka mi sina
Mmhhh.moyo umepona
Moyo umepozwaaa
Mashaka mi sina
Eeh
Mashakaa mi sina
Eeh



Credits
Writer(s): Peninah Joan Wambuh
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link