King

(Wacha wewe!)

Siku hizi navaa maring ring ring
Kama king king
Siku hizi navaa maring ring ring
Kama king king king

Navaa maring kama king
Wanadai nikam nimejipin
Ju wakivai tunadai boxing

Hakuna long ting
Unajua mania no small ting
Kujipin kujipin no sleep ting
Kila siku niko nje ka am watching

Napiga hustle
Kila day hustle and bustle
Wakidai niflex itabidi wameona muscles
Ju kijana rada kaa bus boy
Wanadai michezo mi si boy toy
Niko kanairo tu najienjoy
Ki rick ross ki rick roy

Mindset ballistic, moves zao sadistic
Making hay kwa deep stick
Waresh kila time kejani wanadai dip dip
Ju mi ndo mister sip sip
Nikienda ndani no tip tip
Kaa waiter amevai nadai dip dip
Ju ya ng'ang'o niki sip sip
eyy eyy

Siku hizi navaa maring ring ring
Kama king king
Siku hizi navaa maring ring ring
Kama king king

Siku hizi navaa maring ring ring
Kama king king
Siku hizi navaa maring ring ring
Kama king king king

Nikiignite ndom wanadai fight
Nikikalia throne wanadai kujiinvite
Kama tunachoma jua inakua bright
Kama kuna noma hater, anakula left right
Hakuna stori mingi hakuna ufala right?

Drip too clean drip too darn bright
Making a scene like murder boy on a fight
She say she's wrong no wonder I'm right
Kama niko nje nachoma kitu bright
Kama future ni toy najua yangu ni bright
Na kaa party iko nje please msiniinvite

Hutaniona narusha ngumi zangu ni pied rye
Zangu noma zangu why lie
Nikigonga chuma mkono njaa idie
Nikisoma duma kijana pied aye
Kukung'uta karamu like aye aye, aye aye

Kujinawo kujitambua
Wakinawo wanajitambua
Kulia kesho utajiburn dua
Ukidai macho nyanya, weh itisha jua

Siku hizi navaa maring ring ring
Kama king king
Siku hizi navaa maring ring ring
Kama king king

Siku hizi navaa maring ring ring
Kama king king
Siku hizi navaa maring ring ring
Kama king king king

Mi ni mfalme mi ni king
eyy
Nikose nipate mi bado king
eyy

Mi ni mfalme mi ni king
eyy
Wanikatae wanitake mi bado king
oh

We going all day
We going all night

We going all day
We going all night

We going all day
We going all night



Credits
Writer(s): David Mania
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link