Nakusifu

Mmmmmh
Eeeeeeeeeh

Moyo Wangu usichoke
Kumsifu Mungu baba
Nafsi yangu usichoke
Kutukuza jina lake
Neno lake ni la maana
Akiahidi anatimiza
Ametenda mengi sana
Anastahili kusifiwa
Mungu wangu unastahili
Sifa zote za moyo wangu
Mungu wangu Unastahili
Sifa zote za moyo wangu

Mungu wa mbinguni
Mahari patakatifu
Nakusifu... Nakusifu
Uooh Uooh
Mungu wa mbinguni
Mahari patakatifu
Nakusifu... Nakusifu

Umetimiza pendo lako
Umetenda ulivyosema
Kila siku, milele wewe mwema
Fadhiri zako, sifa kwako
Wimbo na shukrani moyoni
Umenitolea msiba njiani
Umefunga milango kaburini
Ukatangaza mema kwangu
Midomo ya simba na shetani ulinyamazisha
Midomo ya simba na shetani
Ulinyamazisha

Mungu wa mbinguni
Mahari patakatifu
Nakusifu... Nakusifu
Uooh Uooh
Mungu wa mbinguni
Mahari patakatifu
Nakusifu... Nakusifu

Mungu wa mbinguni
Mahari patakatifu
Nakusifu... Nakusifu
Uooh Uooh
Mungu wa mbinguni
Mahari patakatifu
Nakusifu... Nakusifu
Uooh Eeeh



Credits
Writer(s): Peter Canisius Nshimiyimana
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link