Kunjani

Yiii...!
Eeeh
Shiiii!
Okay,
Okay,
Okay,
Wananijuwa me ni number one
Control manonga zidane
Hit floor amuonekani
Sawubona man, kujani

Aibo aii kidogo
Asubui k-chai muogo

Aibo aii kidogo
Asubui k-chai muogo
Sawubona man, kunjani

Aibo aii kidogo
Sawubona man, kunjani
Aibo aii kidogo

T bway the flame

Sawubona man, kunjani
Aibo aii kidogo

Sawubona man, kunjani
Aibo aii kidogo

Hello...
Hello, hujambo ndo nimeland hapa O.R-Tambo

Hello, hujambo ndo nimeland hapa O.R-Tambo
Hello, ukowapi?
Ndo nimefika na mademu wangapi?
Hello, ninani leo tumekuja kukiwasha nanani?
Sho madjozi peace kali amedamshi
Tunafujo tumejaa kwenye gari
Tunakula bata wala hatujali, aafu hawaamini nnavyo chapa konyagi
Sho madjozi ni samaki kwa maji
Sho madjozi ni jogoo halali
Sho madjozi ni ndege anafly
Wao wanasema wata nishusha, sidhani

Sawubona man kunjani
Aibo aii kidogo

Sawubona man kunjani

Hallooo

Aibo aii kidogo

Chezesha midomo chezesha midomo

Chezesha macho chezesha macho

Chezesha midomo chezesha midomo

Chezesha macho chezesha macho
Aaahhh
Sawubona man kujani

Aibo aii, kidogo

Sawubona man kunjani

Aibo aii, kidogo
Aaah shooo!



Credits
Writer(s): Faustina Mfinanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link