Wewe Ni Mungu

Wewe ni mungu uuh, mungu wa sisi soteee
Huruma rehema zako ziko tu popote, hmmh
Unamajina mengi, wewe ni mungu wa wengiii
Mungu wa milimani, mungu wa tambarare
Mungu wa kanisani, Mungu wa msikitini
Mungu wa milimani, Mungu wa tambarare
Mungu wa kanisani, ninayemuamini mimi
Wewe ni mungu, mungu wa sisi soteee
Huruma, rehema zako ziko tu popotee
Wewe ni Mungu unatupenda soteee
Wewe ni baba, wewe ni sharma kotee
Ukanipa nema, ukanipa love, ukanipa fame
Ukanipa wife, ukanipa favour,,nahii ni time
Your blessings is all i got father
Ukanipa name, ukanipa love, ukanipa fame
Na beautiful wife, ukanipa haters wanipe syc
Haaaha
Thank you!
Nimerudi na wimbo wacha nikuimbie Baba
Ukiona na potea nirudie Baba
Wewe ni mungu, mungu wa sisi soteee
Huruma rehema zako ziko tu popotee
Wewe ni Mungu, unatupenda sote
Wewe ni baba, wewe ni sharma koteee
Eeeh, eeh eeh eeh soteeee
Eeh eeh eeh eeh ziko tu popoteee
Wewe ni mungu unatupenda sote
Wewe ni Baba, wewe ni Sharma kotee
Wewe ni Mungu, Mungu wa sisi sotee
Huruma rehema zako zipo tu popote
Wewe ni Mungu, unatupenda sotee
Wewe ni Baba, wewe ni sharma kotee
Wewe
Ni
Mungu uuh!



Credits
Writer(s): Bahati Kenya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link