ASANTE BABA (feat. Jackson Yusuph)

Asante Yesu kwaku nichagua
Katikati ya mataifa (ahaa)
Naku nifanya kuwa mwana wako
Siku stahili kuitwa Mwana wa Baba
Ila kwa neema yako
Na rehema zako Mungu
Ndio maana ume nitoa gizani
Naku nileta nuruni
Asingeli kuwa ni wewe
Nisingeli kuwa jinsi nilivo
Akika nime tambua kua wewe ni Mungu ambae
Huuna upendeleo kwa mtu yeyote yule
Alishikae neno lako
Naku liweka kwenye matendo
Nashukuru Baba kwa neema iyi ya bure
Yesu sina budi kusema ASANTE
Kwako Baba ahaaa mimi natulia
Kwako Baba ahaaa napata ulinzi
Yesu wangu ehee (Asante Baba)
Kwa neema yako (Kwa neema yako)
Asante Yesu wangu (Asante Baba)
Kwa ulinzi wako (Kwa neema yako)
Asante Baba Yangu (Asante baba)
Kwako napata yote (Kwa neema yako)

Na Mimi sina budi kusema ASANTE
Kwa upendo wakoo Baba
Najuwa niwengi wema kuniliko
Ambao awaku pata neema kama hii(chiiii)
Neema kama hii
Umeniona nilie zarauliwa
Naku kataliwa kabisa
Uka nichagua aah katikati ya mamia na mamia
Nikupe nini Baba yangu
Nikupe nini Mungu wangu
Kwako Mungu mimi natulia
Kwako Baba
Napata ulinzi
Kwako Baba napata vyote
Nasema Asante Asantee
(Asante Baba)
Kwa neema yako (Kwa neema yako)
Kwa baraka zako (Asante baba)
Kwa ulinzi wako (Kwa neema zako)
Kwa upendo wako (Asante Baba)
Kwa neema yako (Kwa neema yako)

(Kwako ndiko napata amani)
Uzima wangu ni kwako tu
(Kwako ndiko napata uzima)
Bwana wangu Yesu
(Kwako ndiko napata faraja)
Napata yote kwako
(Kwako ndiko napata yote)
Kwako akuna kilio
(Kwako ndiko napata amani)
Kwako akuna majuto
(Kwako ndiko napata uzima)
Kwako napata afya nzuri
(Kwako ndiko napata faraja)
Kwako napata kila kitu
(Kwako ndiko napata yote)
Nami Nasema Asanteeee!
(Asante Baba)
Kwa neema yako (Kwa neema yako)
Nasema Asantee (Asantee Baba)
Kwa neema yako (Kwa neema yako)
Kwa miujiza yako (Asantee Baba)
Kwa neema yako Bwana (Kwa neema yako)



Credits
Writer(s): Bernadette Mtendjwa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link