Angel

Nakumbuka ule usiku pale kwenye basi
Nikipakata miguu yako mikononi
Na kichwa begani
Ukanieleza story zako zote za mapenzi
Nilikuskiza sikunena nikupe nafasi
Nikujulie hali
Hukuona lakini
Ulinichanga akili
Ulinifanya ningae
Ulinibamba vinare
We ni jua mi ndo mwezi
Bado jua nakuenzi
Ulinifanya ningae
Ulinibamba vinare
Ni ka kunena na malaika
Nakumbuka ukisema nakusoma sana
Nakuona vile wale hawajaikuona
Hawajaiona
Labda labda mioyo yetu inafanana
Ukitazama kioo sisi twaonanana
Labda twafanana
Kusema kweli umeweza mbaya
Sitasema mengi we ushanijua
Hukuona lakini
Ulinichanga akili
Ulinifanya ningae
Ulinibamba vinare
We ni jua mi ndo mwezi
Bado jua nakuenzi
Ulinifanya ningae
Ulinibamba vinare
Ni ka kunena na malaika
Labda labda utanikumbatia kumbatia
Labda labda utaniandikia story pia
Labda labda hadi utawaambia nilikuimbia
Labda ukiskia wimbo huu
Utanipa busu nipe dejavu
Ama labda labda uwe mpenzi tu
Uwe mpenzi tu
Hukuona lakini
Ulinichanga akili
Ulinifanya ningae
Ulinibamba vinare
We ni jua mi ndo mwezi
Bado jua nakuenzi
Ulinifanya ningae
Ulinibamba vinare
Ni ka kunena na malaika



Credits
Writer(s): Shadrack Mutungi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link