Tekla

Dreamcash Records
Mmmh yeye yeeah
Miii na wee
Together all nights all days
Come right to my day
Lucky junior

Baby naomba nikueleze yangu
Machache ya moyo
Maybee mdogo mdogo utanielewa
Lady roho yangu yafukuta nikikuona
Nanogewa
Maybe umutima wa kenga rosa eeeh
Penzi noma latesa vibaya
Waweza ukahama hata kaya
Unaempenda akipenda mwingine
Tega sikio kwangu nachosema mwaya
Usijenitenda vibaya
Ukaniacha ukaenda kwingine

Teklaaa mama tekla wee
Jinsi unavyonifanya tekla wee
Teklaaa mama teklaaa
Teklaaa teklaaaa
Teklaa mama teklaa maa
Iiiiiiiih mama teklaa weee
Teklaa mama teklaaa
Teklaaaa

Laaaah laaaah
La! La! Laa! Laaah laaah
(all day mi na we)
La! La! (together all night all day)
Laa! Laah laaaah Laaah! Laaah (come my way eh eh)
Basi njoo njooh
Njooh njooh njooh
Baby nakuomba njooh njooh njooh
Njooh njooh
Njooh njooh njooh

Ning'are ning'aree
Nipe penzi ning'are
Ning'aree ning'are
Nipe penzi Ning'are
Iiiyeah iiiyeeh yeeah
Wee ni fire unaunguza mbaya
Mimi kwako ni jicho na mboni
Siwezi retire
Yaani fire tena sio lier
Ukitembea yaani nyatu nyatu
Mwendo wa maringo

Teklaaa mama tekla wee
Jinsi unavyonifanya tekla wee
Teklaaa mama teklaaa oh babe oh babe
Teklaa mama teklaa maa
Iiiiiiiih mama teklaa weee
Teklaa mama teklaaa

Laaaah laaaah
La! La! Laa! Laaah laaah
(all day mi na we)
La! La! (together all night all day)
Laa! Laah laaaah Laaah! Laaah (come my way eh eh)
Basi njoo njooh
Njooh njooh njooh
Baby nakuomba njooh njooh njooh
Njooh njooh
Njooh njooh njooh



Credits
Writer(s): Ima Bayo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link