Ungali Wewe

Uummh mm
Uuhhm uuuhm
kila kitu kwangu uu

Ungali wewe
Ninaye amini
Ungali wewe
Kila kitu kwangu
Wewe ee ni hayo yote
Mazuri
Yesu Wangu uu

Amani yangu, iliyo vurugika na mikosi
Umerejesha furaha yangu
Kabla hata nibishe malango yako oh oh
Ninaposema siwezi
Unanishika unanielekeza aa
Elishadai ii
Ooh nana

Ninapochechemea baba
Aa Sitalalamika baba
Aa Sitanung'unika
Wajua mbona haya niyapitie ee
Unaponijalia aa
Hekima yako baba nijalie ee
Kiburi kisiningie ee
Ohh nana
Na a na aa

Ungali wewe
Ungali wewe
Ninaye amini
Wewe ndiwe
Ungali wewe
Ooooooh
Kila kitu kwangu
Yaaaani wewe
Wewe
He ee ee
Ni hayo yote
(Mazuriii
Mazuri
Ooh uu ooh
Yesu wangu

Upendo wangu kwako
Siwezi jichanganya aa
Mara nikupime pime
Nimepata nini
Hilo mi sitafanyaaa
Kung'ang'ania anasa
Kabisa mimi nakataa aa
Nataka ukae ndani yangu
Nami ndani yako oo

Ninapochechemea baba
Aa Sitalalamika baba
Aa Sitanung'unika
Wajua mbona haya niyapitieee
Unaponijalia
Hekima yako baba nijalieee
Kiburi kisiningieee
Ohhnana
Naanaaa

Ungali wewe
Uuuuuuuuh
Ninaye amini
Ungali weeeee
Ungali wewe
Wee uwee
Kila kitu kwangu
Iyeiyeeeheheh
Wewe
Wewe Ndiweee
ni hayo yote
Mazuriii
Mazuri
Oohuuooh
Yesu Wangu

Ungali wee

Ungali wewe
Ungali wewe yesuuu
Ninaye amini
Niwewee
Ungali wewe
Kila kitu kwangu
Kila kitu kwangu
Eeiiiyeee
Wewe
Ndiwe
Hayo yote
Mazuriiiii
Mazuri
Yesuuu
Yesu wangu

Uuu uu heiii eeee
Ungali weweee
Jana leo na milele eeh
Niwewe tu
Niweweee
pekee yako
Niweweeeeh



Credits
Writer(s): Esther Mpaka
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link