Otero

Jisamehee jo ka ulianza hii siku na mguu ya left
Hao mafala hawakuangi impressed
Nakanyagia brakes when the green light is redIntrest ni less na place umezoea
Ndio maana mtaa umepotea

Huwezi lenge street so mtaa umekomea
Nairobi shamba la mawe na bado unaibiwa mbolea
Na next door neighbour kageuka millionaire
Ni kama hatuna say to be sincere

Ukipark unatense ndio ufeel uko there
Buda ako bars na mtoi hana fare
Unapewa smile safi hio ndio future tunarare
Unaeza achilia hio ahea

Mimi kando yako nikiroll
Kitu tamu tumesunda magazeti tunamake pair
Damu inachemkianga doh, usalini ni role
Otero ndio goal

Hii life tunapitia mabonde
Lakini nayonayo kimandela, (otero ndio goal)
Yes sir anatesa na channel
But she say she look good

Ndo ana tell her
(Otero ndio goal)
Enemies wanadhani wataniscore ka (goal)
My keeper yuko chonjo

(Otero ndio goal)
Provice mare mare, wa
(Otero ndio goal)
Na (Otero ndio goal)
Kuwa (Otero ndio goal)

Tunakucelebrate leo ju umeweza weza, (goal)
Kesho pia we ni stori to another meza (goal)
Kusema na kutenda ka bado unaweza kick
Kuwakunywa na kistraw sa ile bado unanitii

Otero on a cruising ship
Entourage inafanya uulize who be this
Madigaga za Jcole zimedai sikuoni leo
Ma vilain wamelay low

Tunachafuanga meza ndo tusanitize
You can smoke in my keja ju nimelegalize
Na mi ndio otero hapa fck your top 5
Nimeficha white mheshimiwa umeficha wife

Hii life tunapitia mabonde
Lakini nayonayo kimandela, (otero ndio goal)
Yes sir anatesa na channel
But she say she look good
Ndo anatell her, (Otero ndio goal)
Enemies wanadhani wataniscore ka (goal)
My keeper yuko chonjo
(Otero ndio goal)
Provice mare mare, wa (Otero ndio goal)
Na (Otero ndio goal), kuwa (Otero ndio goal)



Credits
Writer(s): Michael Kennedy Claver
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link