Party

Chupa limeamka na chai au sio
(Ned, Ned, Ned...)
(Touch, Touch, Touch...)
The African Princess

Leta divai, mixer mvinyo (ah, leo)
Nione maisha vile yalivyo
'Taka nifurahi na my people (ah, leo)
Pombe kali mixer Bibo

Ya nini nijibane, shida zote za nini?
Nitafute kwa taabu niile kwa taabu kwanini?
Acha nitukane (kane) Tena kwa kujiamini (ah yeah eh)
Kama pesa ya kwangu maisha ya kwangu my baby, eh

Call me when you ready (eh, eh-eh-eh)
I just wanna get ready (oh, oh-oh-oh)
Venye uko sexy sijiwezi (eh, eh-eh-eh)
You are the only one, my baby (oh, oh-oh-oh)

I need you on bed, eh-eh-eh
Leo nitakuwa Mbezi
(Baada ya club, kwani zile two in one)
Home kinyamwezi, yeah

Leo sisi hatulali, mpaka giza totoro
Oya, wana hatulali, tunapita kila chochoro (semaga)
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya, wana hatulali, tunapita kila chochoro (ah-woo!)

Mpaka giza totoro
Tunapita kila chochoro

Be my only I want your body (ah, leo)
Nione maisha vile yalivyo (ah, leo)
I play my shit a million jale (ah, leo)
Pombe kali mixer Bibo (ah, leo)

Ona my girl she need truck
Mpe baba dry ila ganja mpe mixer
Ona mashetani napandisha
Nishauza godoro na ile neti ilochanika

Hii collabo ina baraka ni Princess na mimi
Tuna bring old-school na kina Prince Madini
Nashangaa watoto wadogo wana battle na mimi!
Kila kitu ruhusa watasema ni speech ya Mwinyi

Wazimie data maana watawasha VPN
Mi nadhani hakuna jipya ila wao ndio wageni
Mashokolo mageni, watoto jipangeni
Hakuna msoto bila brain
Nauza miko mikocheni

Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya, wana hatulali, tunapita kila chochoro (semaga)
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya, wana hatulali, tunapita kila chochoro (ah-woo!)

(Ah, leo)
(Ah, leo)
(Ah, leo)
Zaga what?
Zaga dat!

You know say I get the stamina
Bongo chocho zote si' tunapita
Mm, you know say I get the stamina
Bongo chocho zote si' tunapita

Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya, wana hatulali, tunapita kila chochoro (semaga)
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya, wana hatulali, tunapita kila chochoro

Ah-woo, ah-woo, ah-woo...



Credits
Writer(s): Oluwatosin Ajibade, Faustina Mfinanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link