Khali Cartel 4

The reason of this gathering
Is because of some intel that I've received
My sources have revealed to me the words that are on the streets
Is everybody here? Y'all can take a sit
And I believe that now we can proceed
Now there's a heist that is about to happen
And ain't no way that we gon' let it
We need the whole team and prolly them paramedics

We looking for a black van we don't know where it's headed
I swear we need to work fast coz we really gotta get 'em
The whole plan is orchestrated by six guys
Apparently it's hard to spot 'em coz they disguise
It's since they trynna get rich by breaking the law
Let's just get one of them and convince them to switch sides
A bargain plea it's all it takes
And it shouldn't be hard on we own the state
Am the chief, am on this case
How they gon try fight police this gon be great

Am in the game they'll never find a play to relate
I got no mercy I pull the trigger just to show I killed it
Oh yeah am heartless coz I know nothing about feelings
Am fucking done cuffed on messing underwater chilling

Shekinah Karen, why they acting
Like they don't know who they fckn with
When in the real sense man am the nigga like Schwarz Nig-
Tu-tu they duckin it
Ski Mask about to put the work innit
Pori nasunda ndeng'a 30 bullets imma' marking with

Hawa makarani wanajichocha na mbitho ju wamekafunga man
Leo hatucheki na mtu tunaenda kuchukua hizo mabunda yeah
Tuko rada ya mambang'a kabla hawajafika si tushakafunga ha!
Tukiwinda sa tunacheki kwa runinga vile tumeuguza wah!

Remember wakinionyesha kisogo
Sai Katapilla nani ndio logo
Ngoso na swa nikileta ni zogo
Naskizwa Nairo, Tanganyika kidogo Congo
Noti inataka kwa walenje
Hii ni kitu nono sisemi Kalekye
Kaa ni wera utabonga na manager
Haikuangi smooth inakuanga na challenges

Huku ni si tunaletaga shida
Tumetanguliza you follow the lead
Ama ndo ni faster hatupotezi muda
Si ni wanyama tunalalanga mbuga
Tunalalanga mbuga simwagi hio unga
Shot nikishoot inakuanga Olunga
Kaa we ni simba mi ni simba wa Yudah
Mbleina akinicheki anabounce kama Ruger

Missioni ni safi na hakuna kitu imakuja kunikatizia
Beba silaha zangu bila worry, nitazicorki nikikaribia
Kama rada ni safi toka pole pole majirani kusafishia
Anything inaruka mbele yangu sibahatishi ninamalizia

AK 47, Mac 11, usikuje kukuchocha bro nimekaribia
Usijali dear, ka ni rap
Mi na Shekinah Karen tume marry here
We the best bila DJ khaled here
Leo ni kuwadandia tushapanga idea
Tukishawapora tunafuata njia
Nilimea ju bro nilipalilia

I heard em asking who's this chic
And where she's coming from
I'm the one you've been waiting
Eargerly to get in the ring
Am not in a hurry
But you know it's never early though
Hunger imevamia my people so niko hapa ku-spin

Ninatembea kwa hewa sikanyagi chini nimepoteza gravity
Napepea all over mnicheki mnataka niuliza how to be
Ligi imebadilika nacheza na mabazenga wananionyeshaga reals
Na si ni kama nabambika nikiona hii matunda ya bidii

Na kuna popo kwa scene gunshot
Target alikufa clean, oneshot
Man I be feeling like will, hancock
Kwanza ilibidi watupige mugshot
Boom pack tunarap Kibera hadi Runda tunatrap
We ni bitc" tukupate dunga
Umedunga mavunja we ni cap

Utatupata Inda tuko lap
You can see it in that on the map
Ati kata anataka collabo za bure
Fck that pigwa slap pap!!

Inakuwa murder case tukiwasili
Wanataka Sound City na wote wanasound silly
Oh really, naskia ni juzi tu ulishinda milli
That's cause I pull up with the draco
Leave rapper all in they feelings

All you catch is acting up
What you rapping it ain't for really
Ka uko sawa mi siko sawa, hio story wachia Nviiri
You bunch ya iPhones ndio hamwezi eka siri
Ulishinda milli but mbona hukai tajiri?

Nilipata pake bro nikainvest it
No resting zingine nikasave, why you questioning?
Back in the streets huwa hatubongi na masanse
All I can say headquarters tutapull up na masenke

Amefurisha ama pia ye anataka akanjwe?
Si hapa ni zogo unabishana na mabig things
Tuma mabang'a atawapona hadi mabunde
Kuchachisha tukifika utajua nani ako na sentence

Mko na sentence but all I can gather from this is vengeance
Surrender now 'cause in a few we about to make an entrance
Now there is only two ways this thing is gonna roll
And call me spill-bird cause I'm just trynna warn a bro
Kuna option ya Kamiti unaeza toka na parole
The other option ni risasi and me know how that goes
But clearly I see you decided to choose death
You ain't ready to negotiate now please who's next?

Ni Murasta wa ndonyo na ni kadogo though
Mi huwamurder kwa soko, mi huwapigia show
Femcee mi ni MC, mi ni teacher
Huku hivi hatuogopi kuchachisha kuchoma picha

Choma picha, choma visa
Choma C.V, choma sifa
So nauliza mbona chuki
Mbona hasira mbona vita?
Naskia Achicho pia ako hapo
Mumeshika mtoo ka sita
Ngoja sister hamwogopi makarao?
Mko na hakika?

Haha! Infact makarao ndio hudhani wao ndo hututisha
Hizo bunduki wanabeba haziwezi tugwaisa
Samahani tafadhali hunilishi kwa sahani
Mi ndio ratili nawapima nyuma na mbogi ya FIDA

Sana sana mi hukuwaga beastmode na siwezi distort
Mafala bado wanakiss gods, bado wanatip toe
Tipi tip doh, nikipiga reggea show
Hizi doh tunazisakanga huku home mpaka kwa shows

Hii Kenya tu sai tunajiitanga danger zone
Tunapendaga sherehe ju gava hainanga form
Usanii pia imekwama kwa magoons hawananga form
Ndo ujue hawakutakii cheki vile walimada gengetone

Ah Gengetone, Kisumu abiro gi rende rong
Danger zone gi manyo nyaka ki Corazon
An e zone ombitho ochamo gi orenge KOT
Yaune dhot atajua hajui 'cause am the GOAT

Andu a nyumba tikuaria tu ni gweka
Thirikari no gutuika, tumarege manacooka
Na mi nishabonga, na ndeng'a nishaikoka
Ya mdomo si ya chocha
Kwani hii change buda inaanzanga?

Ni mi na wewe, sio vita ka ya kuku na mwewe
Tukishasort difference zetu agiza upewe
Alafu tulewe tukichana tu kilalo ya alele
Nimechoka na hii chuki bana tusonge mbele
Juu mziki imebeba mabata kuna karata inasakatwa
Ezekiel Mutua alileta matata
Ilibaki kidogo niomoke na Timmy
Na bado washenzi walikataa
So usinipee msomo nilidhani umesoma
Na kumbe ni shule ulihata

Nonsense, ibendi wayo mang'eny ang'o marach'
Ang'o ma Timmy, uheroga badho ji jamiriambo
In gi thum gi Timmy
Samoko, uhero ga pondo ji ibendi
Ing'eyo akwongoni
Kidwaro bedo walahi surrender faster
This is the whole police

Mko na chance ya kutoka hii ngori only ka mta comply
Na huwezi banja vako hapa we don't take no lies
Elisha Elai na Ben C don't even try to offend me
Naskia nyi ni ma MC mkitaka kubonga then speak

Kutoka kitambo majina ni Elai
Na sahii nachana ka taxin
Kwa grind nakuwanga hard
So hii hapa ni crime scene
Matime nipate back nakick ka Tai Chi
Kantai ni kama ameback walai mtanitii

Washanitii jina Ben C, mtaani wananiita the true ninja
Am a preacher naskia nimenaswa ju nikama nina kichaa
Kukikucha nina tisha, daily nazidi kuchachisha
Hata licha ya onyo bado tunazidi vimba kichwa

Siezi kaa ndakas ka mfuko pia iko chakas
Nilikuwa nasaka ka acrobatic flani ako on circus
Wakaleta fracas kunidhulumu ka Garvey Marcus
Ati na trespass plus na curse ka ruscus

Na zangu rastas zimefanya nikashikika
Nimesikika nikipiga dili katili hali kadhalika
Na keep it clean ka dobi hawaamini injili nimeshika
Wamesikika wakisema mrasta lazima bangi ameshika

Ju ya duster huyu master ameku-confuse na gangster
We ni pastor sijui kwa nini unafanywa kaa duster
True factor infact sa mi ni friendly kuliko Cassper
Hata maji siwezi kata mi huvumilia kama cactus

Mi ameninasa akanitangaza ati nilikuwa napiga anasa
Pengine sasa nitoe kakitu lakini sina shilingi ni tafash
Usijali kakitu utapata lakini usidhubutu kuwapa
Itadhibitisha tu umeblunder so kitu tutafanya nikuwapasha

Mr, hii ni biz na Swizz Beatz, kudisturb risky
Kudiscuss ju ya blisters kwa hii class tricky
Wametukalia kiti na raia hainyiti
Kuwadischarge ni noma tunaeza dead-ia Kamiti

Mi ndio niko incharge these Tweets
And infact siskii hizi excuse mnatoa zinadisturb
This be the last chance ju sai tusha-dispatch 50
Tactical soldiers hamtakeep up, chill please

Still bado nina kesi ju venye marapper nakill
Wananiconsider kama Messi venye naroga na skills
Na compose until ni Pop Smoke kwa drill
Niko na madre adi Snoop anadai Elai ni steel

Elai ni Steel na Ben C mi na keep it real
Bible scripture na prayer ndio zinashift my thrill
Na still am ill na haibidi ni pop my bill
I AM amelipa bill na si speak of will



Credits
Writer(s): Morris Kobia Lyria
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link