Nurullah (feat. Ruqayyah Mustapha)

Nurullah
Nurullah
Nurullah
Nurullah
Nurullah
Nurullah

Nurullah
Nurullah
Nurullah
Nurullah
Nurullah
Nurullah

Oooh ndo imesha waka haizimiki tena
Tupa maaswi na ufanye mema
Allahu ya allah
Allahu ya allah

Oooh oooh
We nimzuri nasema
Nipate nuru mapema
Hata wabaya wakinuna
Yako nuru itawaka haito zima

Kwamakazi yetu
Haitozima
Kwandugu zetu
Haitozima
Na kwa dini yetu waisilamu
Oooooh ona

Mwenye sifa ni mola kwahaki apaswa kuabudiwa
Kutajwa sana nibora akhi ukhti nakwambia
Ukidumisha upendo wallahi haito kuzimikia
Niyake allah embu wahi uipate nurullah

Nurullah
Nurullah
Nurullah
Nurullah
Nurullah
Nurullah

Nurullah
Nurullah
Nurullah
Nurullah
Nurullah
Nurullah

Pazia labaraka nalifungua nuru inifike mwilini
Tena haraka naelekea kwa mola wangu manani

Inifike nuru niwake asubuh na jioni Kiyama niwe huru mola aniingize peponi

Inifike nuru
Ahaah
Ahaah
Kiyama niwe huru
Ahaah
Ahaah

Tena amina
Emola itikia duwa tupate nuru yako
Ameena
Yanimazima usije tuchukia utufanye wapenzi wako
Oooooh ona

Mwenye sifa ni mola kwahaki apaswa kuabudiwa
Kutajwa sana nibora akhi ukhti nakwambia
Ukidumisha upendo wallahi haito kuzimikia
Niyake allah embu wahi uipate nurullah

Eeeeeh eeeh
Ooh nurullah
Nurullah
Nurullah
Eeeeeh nurullah

Nurullah
Nuru ya Allah
Nurullah
Nurullah
Nurullah

Hii nuru ituwakie sote
Sote wote mimi na wewe
Yaani wanadamu
Sote wote mimi na wewe



Credits
Writer(s): Said Chizenga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link