Akija

Babe nakuzimia I'm fallin
Usiku silali all night I'm callin, Hee Ee Ee eeh eh ka nnakosea I'm sorry
Babe nakuzimia I'm fallin (I'm Fallin)...

Ako na body ya kubamba, Anavyokata ananipa mawenge
Aki-speak wana-shut up wakushanta Anawazima no'em sayin'
Mi mwenzenu namtaka-taka but She's my bestfriend
Oooh namtaka Awe ma bebee...

Ila ntamwambia ka Akija Akija Akija!
Ntamwambia ka Akija Akija Akija!
I say ntamwambia ka Akija Akija Akija!
Ntamwambia ka Akija Akija Akija!

(Mmmmmgh!)
Mwenzako mie moyo wangu Umekupenda ni wewe, Eh!
Niinulie penzi langu siwezi beba Mwenyewe, Mh!
Nashindwa vumilia japo nimeumbwa Na kabaa, Aah!
Sa usiniumize usiniumize eeeh Eh Eh!
Ooh my swee'Eh Ooona way u Killing like Eh,Eh,Eh!
Nafikiria ukigoma sasa itaniuma Vibaya... Aah!

Ako na body ya kubamba, Anavyokata ananipa mawenge
Aki-speak wana-shut up wakushanta Anawazima no'em sayin'
Mi mwenzenu namtaka-taka but She's my bestfriend
Oooh namtaka Awe ma bebee...

Ila ntamwambia ka Akija Akija Akija!
Ntamwambia ka Akija Akija Akija!
I say ntamwambia ka Akija Akija Akija!
Ntamwambia ka Akija Akija Akija!



Credits
Writer(s): Carlie Bronze
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link