Salama

Mmmmmh
Uuuuuuuh
Sitababaishwa, sitatingizika
Maana wewe U nami
Wanisikia toka mbinguni
Ninakuamini na kwako napata faraji
Bwana wewe U nami
Waniongoza maishani

Mchungaji wangu wewe ni mwamba wangu
Kwako niko salama, salama
Mchungaji wangu wewe ni mwamba wangu
Kwako niko salama, salama

Nasimama, sitingiziki
Niko juu ya mwamba salama, salama
Nasimama, sitingiziki
Niko juu ya mwamba salama, salama

Shetani analeta majaribu kila siku
Kwa nguvu zangu mi siwezi
Nakutegemea mwokozi
Naomba unijaze na roho wako mtakatifu
Nifunze neno lako uwe chakula changu

Mchungaji wangu wewe ni mwamba wangu
Kwako niko salama, salama
Mchungaji wangu wewe ni mwamba wangu
Kwako niko salama, salama

Nasimama, sitingiziki
Niko juu ya mwamba salama, salama
Nasimama, sitingiziki
Niko juu ya mwamba salama, salama

Juu ya mwamba
Salama, salama
Nasimama, salama, salama
Juu ya mwamba salama, salama
Uuuuuuh, uuuuuuh
Niko salama



Credits
Writer(s): Shekinah Kigame
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link