Real warrior

Leo niko zabe keg jaba na mandom
Ndom ndom ndom
Mayeng's wamechrome wanadai tu maform
Form form form
Leo niko zabe keg jaba na mandom
Ndom ndom ndom
Mayeng's wamechrome wanadai tu maform
Form form form
Pedi wangu ndio the real warrior
Real warrior real warrior
Real warrior
Ananinyanyisha shhhh

Me huitwa Tarzan ju bouty huchezaga tu kwa miti
Mbona uko nyanya ju ya nyaru na mamiti
Ulizima kesi vile mali haiko fiti
Shida ulipata umetokwa hadi binti
Nipige riz na shada me na kifilter ntaitinga
Ororo alileta pupa shida aliwasha akaimba
Me niletee ki kilo me ki Gbag haitafika
Me husetingi gweze ilipandwa penye Marley alizikwa

No hennessy hapa ni kibao
Mayeng's wamechrome tumembao mbao
Ma melanin lightskin rangi ya thao
Wanatwerk wanabend pita nao
Cheza na dudu empress niangalie
Usijifanye unakaza jiachilie
Me si timmy t dat unikazie
Toa nyef nyef nikuipazie

REAL WARRIOR-BOUTROSS, JOEFES,JAPESA,RAYMO.BOY BLEEZ

Ah public announcement
Me ndio nilikuwa kwa hiyo video ya imenti
Hao majango waliwatch wakiwenki
Ni mawarrior wa ikus kwa mneti
Utanikoma kama ngotha ya mamako
Usikaze kunyi rungu ikiwa kwa matako
Ati ye hupenda vile me husema matako
Ye ni takataka ntamtupa kwa matakoo

Leo niko zabe keg jaba na mandom
Ndom ndom ndom
Mayeng's wamechrome wanadai tu maform
Form form form
Leo niko zabe keg jaba na mandom
Ndom ndom ndom
Mayeng's wamechrome wanadai tu maform
Form form form
Pedi wangu ndio the real warrior
Real warrior real warrior
Real warrior
Ananinyanyisha shhhh

Choche nimepitia ka jaba
Gode na hiyo si ni sapi ya shamba
Nadai kukupea ki ndizi
Daniella girl in a de city
Uki ganja baking niko zile tu macookie
Ganja rieting niko tu piga maruti
Ganja baking ai niko fushi

REAL WARRIOR-BOUTROSS, JOEFES,JAPESA,RAYMO.BOY BLEEZ

Usinipe heri joh ninyonge monkey
Ju hizi pongi zimegongwa hadi na donkey
Sichezi na fire hizo damage huwa konki
Nememezea hat aka niko na tonsils
Juu mechi zako kama derby za rugby
We ni Annabelle ukijifanya Barbie
Ndani ya cab tabia ka za matatu
Maboy wote kwani uko na ikus tatu
Kipusa chunga kipussy
Huezijua joh nini kirusi
Ukidedi tukuje ki harusi
Washa kashada moshi ya kifegi zii

Leo niko zabe keg jaba na mandom
Ndom ndom ndom
Mayeng's wamechrome wanadai tu maform
Form form form
Leo niko zabe keg jaba na mandom
Ndom ndom ndom
Mayeng's wamechrome wanadai tu maform
Form form form
Pedi wangu ndio the real warrior
Real warrior real warrior
Real warrior
Ananinyanyisha shhhh

REAL WARRIOR-BOUTROSS, JOEFES,JAPESA,RAYMO.BOY BLEEZ

Ahero kong'o nyasore to gi maleche
Nyako moting'o gode ema amiga leche
To miya bbw okahero ng'ete
To kaka apuko koyo dhano manyo ongede
Achari mon ekakiluonga tinde kuome
Nyako kasero nyaka miya gire okay
Nyari be nokona ni odwagani agide
Japesa okowara an okangw'on ne
Wadada madwa form angi pesa
Nyinga janode kong'o ng'eny wangi cheda
Kawuono onge nindo wangi jaba
Wachimo boche udhifuyo wan gi ganja

Baby girl uko form
Itabidi uzime phone
Leo yote uta moan from usiku hadi noon
Utafeel ukomoon nitakuwa father june
Usiulize me ni nani ninatoka upande gani
I be make a lot of money
Nitaskuma kama gari
Nikukule kama ugali we ni tamu kama asali

Leo niko zabe keg jaba na mandom
Ndom ndom ndom
Mayeng's wamechrome wanadai tu maform
Form form form
Leo niko zabe keg jaba na mandom
Ndom ndom ndom
Mayeng's wamechrome wanadai tu maform
Form form form



Credits
Writer(s): Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link