Hii ni Freestyle

Yeah (Yeah)
Hii ni Freestyle
Aaah (Aaah)
Hii ni Freestyle
Its initial
Hii ni Freestyle
Okay
Yeah Skia

Ni mtoto wa kichaga
Mjanja
Naitwa Mr swagga
Nyanda
Najua wanadis
Nikikacha majanga
Nikifanya mishe zangu
Kwa Madiba
Aaah
Mimi mnyamwezi
Mimi sio mgeni
Nikifanya mishe zangu
Zinatiki kama messi
Mimi sitelezi
Mimi ni benki
Hutosikia ipo siku
Ntakurudishia chenji
Nimepata chimbo
Niandike wimbo
Nilipotoka niliona tu vishingo
Sichezi bingo
Sina maringo
Sikukati nakuchapa tu na fimbo
(Say me watagwaaaan)
This is the message to my people
Who fear gun
Kua free sio simple
In Caribbean
We get the bag infinito
Awamu hii kwa kishindo

Hii ni freestyle
Hii ni freestyle
Hii ni Freestyle
Wanangu sema Hii
Hii ni Freestyle
Hii ni freestyle
Hii ni freestyle
Hii ni Freestyle
Wanangu sema Hii
Hii ni Freestyle

Mtoto wa kiume
Huna mwili sio siri
Get the bag
Turn the work into milli
Ukijicheki mfukoni
Utakuta huna mbili
Kwenye milli
Mimi mwenzako sina bili
Hushpappy young
Kwenye money nawahang
Taiwan man
Don't confuse Mr Han
Yesterday he sung
Ulidhani sio fun
With your big tongue
Nitakupa big bang
Kila kona ukigusa
Mimi naendesha show
Kila kona mi nawasha
Kwasababu nina do
Kila kitaa mi natamba
Kwani huoni navyoglow
Unakiherehere
Ndo maana una blow
(Say me watagwaaaan)
This is the message to my people
Who fear gun
Kua free sio simple
In Caribbean
We get the bag infinito
Awamu hii kwa kishindo

Hii ni freestyle
Hii ni freestyle
Hii ni Freestyle
Wanangu sema Hii
Hii ni Freestyle
Hii ni freestyle
Hii ni freestyle
Hii ni Freestyle
Wanangu sema Hii
Hii ni Freestyle

King F
Milocho
255
Taking you world wide
Its initial
Hii ni freestyle
Okay



Credits
Writer(s): Erick Matemu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link