Kuzitoka

Kuzitoka tu, kuzitoka tu
Mdogo kuzitoka

King kaka yuko area
Leo ni mafilo ka Kimemia
Haujaambiwa vitu unaweza weza
Nina bongo ebu skiza mafleva

Mavela zimesundwa kwa shisha
Na whites tunaficha na mashishio
Ni kucheka tu kindani Eastlando table manners ya kilami

Sikujui but jirani atakujua
Mtu ndio kitu utagundua
Uwongo niliwachia govermenta
Shots tu nikikumarineta

Aiya, aiya, aiyayaya kuzitoka tu
Aiya, aiyayaya kuzitoka tu
Aiya, aiyayaya kuzitoka tu
Aiya, aiyayaya kuzitoka tu

Uweke check juu ya meza
Wiki mzima nishapiga wera
Kwanza ni beef juu ya sima
Mama pima mbona unanipima

Na ikiisha jaza mara twice
Hii fame hukam na price
Unanidrive crazy
But mah please don't drink and drive

Jasho idunde kesi baadae
Haya usiwashe fegi kwa ndae
Uko maji mabend over
Chipo niaje, oi ma left over

Aiya, aiya, aiyayaya kuzitoka tu
Aiya, aiyayaya kuzitoka tu
Aiya, aiyayaya kuzitoka tu
Aiya, aiyayaya kuzitoka tu

Kuzitoka tu
Kuzitoka tu
Kuzitoka tu



Credits
Writer(s): Kennedy Otieno Ombima
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link