Iko Sababu
Iko sababu humuoni tena
Meseji yako hajibu tena
Na iko sababu hapigi tena
Na hali yako haijali tena
Iko sababu kaiba tena
Na imani yako kaitupa tena
Na iko sababu umeanguka tena
Ulipojifunza umeshindwa tena
Kubali na shukuru
Shukuru
Kubali na shukuru
Shukuru
Kubali na shukuru
Wewe shukuru
Kubali na shukuru
Shukuru
Mkulima
Una furaha unagombana nao
Huzuni yako ndio dili kwao
Kufeli kwako ndio sala yao
Amani yako ndio kero yao
Amka ufungue macho yote yana tija
Chuki na kelele zote zitapita
Yote kayaruhusu Mungu jipe muda
Wanasaidia hata kwa ukuda
Mpenzi umegombana nae
Umeshindwa kumtunza bae
Ndoto yako ile kuwa nae
Imefutika anakupiga mawe
Mipango yetu finyu hatujui kesho yetu wapi
Tunastress hatujui kayapanga yepi
Yeye anajua rizki yako iko wapi
Kakupa somo lipokee uitibu nafsi
Iko sababu
Unapewa siki, haufiki
Ni wazushi, unafiki hauishi na
Iko sababu
Wanaku'bluetick', you're ghosted
They still dis, don't feel great, you're hopeless na
Iko sababu
You see none around, they still frown
They want you down, you call they run, it's their turn na
Iko sababu
Yote baraka bwana, ameyaruhusu Bwana
Kwa ratiba zake bwana, zake bwana
Kubali na shukuru
Shukuru
Kubali na shukuru
Shukuru
Kubali na shukuru
Wewe shukuru
Kubali na shukuru
Shukuru
Meseji yako hajibu tena
Na iko sababu hapigi tena
Na hali yako haijali tena
Iko sababu kaiba tena
Na imani yako kaitupa tena
Na iko sababu umeanguka tena
Ulipojifunza umeshindwa tena
Kubali na shukuru
Shukuru
Kubali na shukuru
Shukuru
Kubali na shukuru
Wewe shukuru
Kubali na shukuru
Shukuru
Mkulima
Una furaha unagombana nao
Huzuni yako ndio dili kwao
Kufeli kwako ndio sala yao
Amani yako ndio kero yao
Amka ufungue macho yote yana tija
Chuki na kelele zote zitapita
Yote kayaruhusu Mungu jipe muda
Wanasaidia hata kwa ukuda
Mpenzi umegombana nae
Umeshindwa kumtunza bae
Ndoto yako ile kuwa nae
Imefutika anakupiga mawe
Mipango yetu finyu hatujui kesho yetu wapi
Tunastress hatujui kayapanga yepi
Yeye anajua rizki yako iko wapi
Kakupa somo lipokee uitibu nafsi
Iko sababu
Unapewa siki, haufiki
Ni wazushi, unafiki hauishi na
Iko sababu
Wanaku'bluetick', you're ghosted
They still dis, don't feel great, you're hopeless na
Iko sababu
You see none around, they still frown
They want you down, you call they run, it's their turn na
Iko sababu
Yote baraka bwana, ameyaruhusu Bwana
Kwa ratiba zake bwana, zake bwana
Kubali na shukuru
Shukuru
Kubali na shukuru
Shukuru
Kubali na shukuru
Wewe shukuru
Kubali na shukuru
Shukuru
Credits
Writer(s): Bon Lwiwa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.