Mapenzi Raha

MAPENZI RAHA BY THEE EXIT BAND
Mapenzi raha ya kufaana
Na wengine wanaona ni balaa
Wengine wanakaa na kufanana
Tabasamu ukona wako wamada
Tegele kufaana nawe milele
Tegere nawe tu yemere
Moyo ndio ulikupenda mwenywe
Mimi nina Imani na wewe
Forever and ever
For you my love for you mama
Forever and ever
For you my love for you mama

Mapenzi yana raha
Ukimpata anayekufaa
Kwangu mi ndio nashangaa
Nimeridhika na nimekaa
Kupata mwingine siwezi
Oooh mi siwezi
Sifa nampanga mwenyezi
Oooh mwenyezi

Sasa nalishwa navalishwa
Yaani mapenzi yasafisha
Naridhika burudika

Kwangu mapenzi hayataisha
Na sitaki mwingine
For you my love for you mama
Forever and ever
For you my love for you mama
Forever and ever
For you my love for you mama



Credits
Writer(s): Kelvin Athumani Yalibi, Maxwell Otieno Omondi, Meltas Javan Juma
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link