Utoto

Beats By Cat P

Acha utoto Utoto huo
We acha utoto bana Utoto huo
Acha utoto Utoto huo
We acha utoto bwana Utoto huo

Ah! Na songa ugali mboga biscuit lost
Napita maskani wana nawaita mashosti
Nikikutana na mtu mtaani na salimia
Ila ukipita nyuma nakuzomea

Nguo za-mi na ndogo wangu sare-sare maua
Kulamba-shake baba ndio michezo najua
Nakunyuaga togwa na vitumbua
Na nikienda dukani chama nanunua

Nimezungukwa na madeni
Juzi niliiba nyanya gengeni
Majerani amkeni kuna kesi nimekunya soda ya mgeni

Na siku izi naitwa Carpoza ama Nyaunyau
Na piga baby diaper na sonijauku
Plus na ugonjwa wa kusahau
We Carpoza manyaunyau njoo hapa Nani Carpoza manyaunyau?

Acha utoto Utoto huo
We acha utoto bana Utoto huo
Acha utoto Utoto huo
We acha utoto bwana Utoto huo

Napenda kukojolea Poti la mdogo wangu
Naombea nampelekea Ukinisema shem wangu

Wanesa bila kuoga, sijapenda
Eti mi nakomba sana mboga, au sijapenda
Kwamba mimuoga kutongoza au sijapenda
Kula embe mimi nipe coco napenda

Ah!-ah! Siku ukipika wali kuku ndo nawahi kuoga
Ukinipa buku shule na wahi kutoka
Na nikijikojolea usiku minawahi kuamka

Nikifika kileleni ndo nawahi kuchoka
Kwanza visa napendaga ugonvi mteme mlambo
Nyumba za kishua nagonga milango ohoodi!

Ah!!! Kumbe kwamgambo, alafu naskia juzi kaibiwa tambo jamiii!

Acha utoto nakufaaa Utoto huo Aaaahh!
We acha utoto bana Utoto huo

Acha utoto Utoto huo
We acha utoto bwana Utoto huo



Credits
Writer(s): Oscar Martin
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link