Pokea Sifa

Pokea Sifa zetu Bwana
Umejaa neema na rehema

Pokea Sifa zetu Bwana
Umejaa neema na rehema

Pokea Sifa zetu Bwana
Umejaa neema na rehema

Pokea Sifa zetu Bwana
Umejaa neema na rehema

Nikikumbuka wana izraer
Walivyovuka Bahari ya shamu
Wewe bwana uliwashindiaa
Kwako Bwana Twategemea
Utuongoze
Utubariki
Ututakase

Wakati Joshua
Ulisimamisha jua
Wewe bwana uliwashindiaa
Kwako Bwana Twategemea
Utuongoze
Utubariki
Ututakase

Pokea Sifa zetu Bwana
Umejaa neema na rehema

Pokea Sifa zetu Bwana
Umejaa neema na rehema

Pokea Sifa zetu Bwana
Umejaa neema na rehema

Pokea Sifa zetu Bwana
Umejaa neema na rehema



Credits
Writer(s): Daudi Mpimba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link