Kamata Tumbler

Kamata Tumbler
Tumbler yeye
Kamata Tumbler Tumbler
Tumbler yeye
Hujakunywa pombe
Hauko Kwa zone
Ndo maana unasema
Bash inabore
Hujashika kingwai
Hauko Kwa zone
Ndo maana unasema
Bash inabore
So kamata Tumbler
Kunywa tulewe
Tulewe adi tucheze Ka watoto
Yaani tubebwe
Mtoto wa University anavunja masharti
Mtoto wa University anavunja masharti
Amekamata tumbler tumbler yeye
Ame kamata tumbler tumbler tumbler tumbler yeye
Amekamata tumbler tumbler yeye
Ame kamata tumbler tumbler tumbler tumbler yeye
Hujakunywa pombe hauko Kwa zone
Ndo maana
Stop teaching me how to love men I know myself
Your the one who destroyed the last one
Men I cant forget
Fitina unapendaga fitina
Unanisinya aki walai unanisinya
Kama katoto kamebeba mbele na nyuma unataka nimuache aje
Kama katoto kana figure nzuri malkia nimuache aje
Amekamata tumbler tumbler yeye
Ame kamata tumbler tumbler tumbler tumbler yeye
Amekamata tumbler tumbler yeye
Ame kamata tumbler tumbler tumbler tumbler yeye
Mtoto wa University anavunja masharti
Mtoto wa University anavunja masharti
Amekamata tumbler tumbler yeye
Ame kamata tumbler tumbler tumbler tumbler yeye
Amekamata tumbler tumbler yeye
Ame kamata tumbler tumbler tumbler tumbler yeye

Credits
Writer(s): Denis Seko Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link