Kitu (feat. Bontle Smith & Tyler ICU)

Eeh!
Ayayaya!
Eheh

Kuna kitu kimoja
Kwa jina sitokitaja

Ah! Kipo kidude hiko
Kwa jina sitokitaja

Kuna kitu kimoja
Kwa jina sitokitaja

Ah! Kipo kidude hiko
Kwa jina sitokitaja

Ukiona cha simama
Jua kinataka kinyama
Ukiona kimelala lala hakikuachi salama

Eh! Ukiona cha simama
Jua kinataka kinyama
Ukiona kimelalala hakikuachi salama

Eeh Mama kitu kitu
Mie kitu kitu mama kitu kitu
Kitu kitu
Mama kitu kitu ieee kitu kitu
Mama kitu kitu kituu

We we weee!
Wewe
We we weee haah tokauko

Aii We we weee!
Wewe
We we weee tokauko

We we weee!
Wewe
We we weee haah tokauko

Aii We we weee!
Wewe
We we weee tokauko



Credits
Writer(s): Bontle Smith, Tyler Icu, Zuhura Othman Soud
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link