Pombe (feat. Teslah & Chan Chan Music)

Sherehe ni sheria
Tunakunywa mabia
Wasije dandia
Inawavutia
Wakipita kwa njia
Wanatununia

Me nataka pombe me nataka kulewa
Agiza pombe
Cheki yule shore vile amelemewa
Anataka pombe
Ma Hustler na mabombe wamekuja kulewa
Wanataka pombe
Walihepa choche wakafika mapema
Wanataka pombe

Me nataka pombe Me nataka pombe
Me nataka pombe Me nataka pombe
Me nataka pombe Me nataka pombe
Me nataka pombe Me nataka pombe
Nikilewa ninapenda kusumbua
Nyote mnajuwa na bado ninanunua nunuwa
Na tumbo zetu bado tu zina pumua
Hazitaki kupungua na bado hamjagundua
Ooooh oooh Matatizo yamezidi lakini
Mfuko hatuna doo
Ooooh ooooh tutacheza kabisa lakini
Pombe tu ndio more
Me nataka pombe Me nataka pombe
Me nataka pombe Me nataka pombe
Me nataka pombe Me nataka pombe
Me nataka pombe Me nataka pombe
Shida ni nyingi imedhoka lakini life is for the living
Sherehe ni wawili kwa wawili
Nipeleke Pole pole na karidhim aaah
Sherii nakuona umemedi
Nina kitambala mkononi
Ukidai unaeza kuja nakisency
Ooooh oooh oooh
Daily sijakuona area lakini nasiwezi feli
Nikukata maji design ya kimeli
Tuwakate na tubebwe ni wikendi ady tumbleki
Me nataka pombe Me nataka pombe
Me nataka pombe Me nataka pombe
Me nataka pombe Me nataka pombe
Me nataka pombe Me nataka pombe



Credits
Writer(s): Kelvin Athumani Yalibi, Maxwell Otieno Omondi, Meltas Javan Juma
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link